Anayefahamu kijijini wanakouzwa mashamba Kati ya laki 2 Hadi 5 anijuze popote Tanzania

Nitafute rukwa wilaya ya kalambo kuna heka 150 special kwa mahindi, maharage na mazao mengine bei ni 100000 per heka weka ya udalili 50000 per heka
 
Njoo pm upate kumiliki kipande Cha ardhi
 
Nenda Lindi walaya ya Liwale, ongea na serikali ya kijiji chochote watakupa pori bure uligeuze kuwa shamba, utalima mazao ya biashara kama ufuta, mpunga, mbaazi na korosho. Mashamba yanafikika kwa gari au hata boda boda hivyo ni juhudi zako tu ndo zitaamua utoboe kwa kiasi gani
 
Asante boss. Shida ya lindi vijana wa KAZI mashambani ni wavivu sana
 
Mshauri atafute Suzuki Escudo old model. Akipata manual trans itakuwa poa zaidi. Popote atakapopita mtu wa Cruza basi ile gari inapita bila wasi wasi 4WD yake sio mchezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…