kuna mmoja nilikuwa nae alikuwa anaitwa sheila,vituko alivyokuwa ananifanyia,mungu ndo anayejua,na nilimpenda sana,akawa ndo anatumia kuniumiza,alaf kama wana majini vile,vituko vyote vile,lakn mpaka leo bhado nampenda japo,tumeachana,alimpata mjanja mmoja,akamtorosha akawa ana kaa nae,mara nikasikia wameachana amerud kwao singida,hawafai hao,ila ni wazur,warefu,weupe,waongeaji sana,anapenda akutawale,kuna wakat uwa wanapenda kweli,ila akikuchoka utajuta,hayo ndo niliyaona kwa sheila,mengine siri yangu,
Teh teh ha ba really? Umeulizwa tabiaNi wasafi sana, wanapenda sana kuoga.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Umalaya n hulka ya mtu nachukia Sana MTU anapogeneralize kabila fulan kisa aliyetendwa na dem wakeDah.....hii sasa too much kwa Dada zetu jamani.
Kweli kila baya ni wao tu.?
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] Dah...sawa bhnTatizo lao hawana king'amuzi
Well said mkuu.Umalaya n hulka ya mtu nachukia Sana MTU anapogeneralize kabila fulan kisa aliyetendwa na dem wake
Mkoa gani huo mkuuWell said mkuu.
Mimi nipo mkoa flani lakini sioni tofauti ya tabia hizo zilizotajwa na huku nilipo ila siwezi nika-husisha tabia hizi na kabila maana sio wote wapo hivyo.
[HASHTAG]#mtasema[/HASHTAG] wote wanaojiuza ni wa hili kabila....[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Pia na wamakondeUmesahau warangi
Mkoa flani hivi mkuu.Mkoa gani huo mkuu