Chellenge Yunus
Member
- Nov 21, 2016
- 24
- 19
Mbona yapo mengi tu kwa wakwe zangu iringa wao poa kabisaUkiomba ushauri humu utakua discouraged, humu hutapata kabila zuri.
Musoma moja hiyoMkoa flani hivi mkuu.
Watu wake wanapenda ubabe sana hata sehemu ya kutumia busara.
Kuingia mkoani utaona bango kubwa limeandikwa...
Hivi sasa unaingia mkoani.....
Sio kama sehemu zingine pameandikwa...
Karibu mkoa ....
Hongera, Kamwene bee!!!Mbona yapo mengi tu kwa wakwe zangu iringa wao poa kabisa
Umewasifia vizuri kwa reference ya mkeoMm nimeoa mnyaturu, tunamiaka 20 ndani ya ndoa, mambo safi, hakuna shida, ni wamama wazuri sana sana, wanajua kulea watoto, ni wachacharikaji ilimradi apate mume anayejiamini na mwenye kuonyesha njia
aiseee wee unawajuawanaakili nyingi angalie wasiwewanakuzidi,hawapendi dharau,na wapole na waungwana ukiwaheshimu,ukichipuka akajua umeharibu maisha yako ya ndoa.wazuri na pia huwa hawatetereki ukiwaachia nyumba yaani wao wanafaa kuwa wasimamizi kwa sababu ni wafuatiliaji.Mwisho muulize kwao ufike kabla ya kumuoa.ila wa kaskazini aka wairhwana hao wanaadabu na tabia njema ila kama wa kusini aka wahi kuwa makini
[emoji1]Nimekaa nao kwenye mahusiano kwa takribani miaka 4.Nimewasoma vizuri sana,hawa watu hawafai kabisa inahitaji uwe na moyo wa chuma ndio utaishi nao
Ndoa ni bahatiMm nimeoa mnyaturu, tunamiaka 20 ndani ya ndoa, mambo safi, hakuna shida, ni wamama wazuri sana sana, wanajua kulea watoto, ni wachacharikaji ilimradi apate mume anayejiamini na mwenye kuonyesha njia