Jeep rubicon
JF-Expert Member
- Jan 7, 2023
- 737
- 1,446
Salaam.
Kuna wadudu wako kama funza wakubwa wanaishi kwenye mbao, kwa Kizungu wanaitwa Powderpost beetles, wakila kama ni kochi au kiti utaona tu unga mlaini kama powder imedondoka chini na pia kuna wakati unasikia sauti yao jinsi wanavyotafuna kitu cha mbao.
Hawa wadudu wananitia wazimu, nina tufurniture twangu twa gharama nilituagiza Europe wanavishambulia. Nikisikia wanavyovitafuna hadi tuchozi tunanilenga.
Watu wa fummigation wamepiga dawa ila bado wapo.
Wakuu naomba msaada wa dawa au nini nifanye wafe?
Picha hiyo ni mfano wa jinsi wanavyoharibu.