Anayejua dawa ya kuua hawa wadudu anisaidie

Anayejua dawa ya kuua hawa wadudu anisaidie

Sasa kochi kama hili unakuta yuko humo ndan katikati,polish au petrol inakua ngumu coz itaharibu kitambaa.
Mkuu wa ushaur wa kuyakojolea asubuh dumuz anaweza akafa ila kaharufu vepee😊
 

Attachments

  • Screenshot_20230224-190158.jpg
    Screenshot_20230224-190158.jpg
    29.4 KB · Views: 13
dah, mkuu samahani, hoja zangu zote juu zina assume mbao iko exposed, yaani zinaonekana
Sasa nisaidie kuumiza kichwa mkuu.
Tufanyaje kwa mbao za ndan ya koch na juu yake kuna kitambaa?
Mwenzie nawaza ingekua kuna dawa ya kupuliza colorless au ya mvuke
 
Sasa nisaidie kuumiza kichwa mkuu.
Tufanyaje kwa mbao za ndan ya koch na juu yake kuna kitambaa?
Mwenzie nawaza ingekua kuna dawa ya kupuliza colorless au ya mvuke
mbao tupu ambayo iko uchi kabisa, huyo mdudu ni mtiti kufa, (maana mwili wake umefichwa na kava mithili ya shell ivi )
sasa hapo mbao imefunikwa na vitambaa 😀 kazi unayo
 
Huyo ni wa kumwagiwa ddt, atafute means ya kumwagia.
shida ya yule mdudu yuko katikati ya mbao , chukulia inchi moja toka sura ya mbao
dawa ya kawaida ikifanikiwa kupita bado haitamdhuru maana mwili wake umefunikwa na gamba gumu mithili ya sheli
 
Back
Top Bottom