Anayejua dawa ya kuua hawa wadudu anisaidie

Bora uliwawahi.
Unaweza jikuta inaingia gharama za kuezeka upya.
haha waliniwahi mzee, maana walishaanza kulia ( wale dumuzi wadogo siyo wale wakubwa )
nikamwaga oil nyingi sana, nilinunua dumu za lita 20 nne nikakodi na compressor lile ya kupakia rangi magari
nikapandisha juu kule, walinitia hasara sana pumbav hao
 
Pole sana mkuu.

Ila kama ishazibwa na magypsum wanaweza kufikia kenchi kweli?
 
Salaam.

Kuna wadudu wako kama funza wakubwa wanaishi kwenye mbao.Kwa kizungu wanaitwa Powderpost beetles.

Wakila kama ni kochi au kiti utaona tu unga mlaini kama powder imedondoka chini.Na pia kuna wakati unasikia sauti yao jinsi wanavyotafuna kitu cha mbao.

Hawa wadudu wananitia wazimu.Nina tufurniture twangu twa gharama nilituagiza europe wanavishambulia.
Nikisikia wanavyovitafuna hadi tuchoz tunanilenga

Watu wa fummigation wamepiga dawa ila bado wapo.

Wakuu naomba msaada wa dawa au nini nifanye wafe.

Picha hiyo ni mfano wa jins wanavyoharibu
Tumia sabuni zenye acid zile za kuoshea chooni kwenye tile zilizo fubaa... Zipo madukani. Weka kwenye chupa au kifaa kinachoweza ku spary kama unavyo spray perfume...
Then spray kwenye hizo sehem.

Me nilifanya hivyo kwenye mlango ulikuwa unaliwa na mchwa.... Walipotea wote ghafla... Puliza kwa wingi Kila siku ulete majibu.
 
nadhani zile mbao zilikuja tayari zina mayai yao huko zilikotoka

na mayai yao huanguliwa mpaka miezi 6 huko,

ikumbukwe hao wadudu wanaruka, anatoka nyumba ya jirani anakuja kwako, anataga mayai.
Ipo haja ya kupiga midawa ya kutosha kabla ya kuezeka.Na zile za blandaring ziwe treated kuepuka hiz stress
 
Tumia sabuni zenye acid zile za kuoshea chooni kwenye tile zilizo fubaa... Zipo madukani. Weka kwenye chupa au kifaa kinachoweza ku spary kama unavyo spray perfume...
Then spray kwenye hizo sehem.

Me nilifanya hivyo kwenye mlango ulikuwa unaliwa na mchwa.... Walipotea wote ghafla... Puliza kwa wingi Kila siku ulete majibu.
Asante kwa ushaur mkuu
 
Kila nikiiona avatar yako, mie roho kwatuuu!
 
Back
Top Bottom