Anayejua dawa ya kuua hawa wadudu anisaidie

shida ya yule mdudu yuko katikati ya mbao , chukulia inchi moja toka sura ya mbao
dawa ya kawaida ikifanikiwa kupita bado haitamdhuru maana mwili wake umefunikwa na gamba gumu mithili ya sheli
Ni mdudu kamili anaishi humo au ni funza wanakula mbao kama chakula katika ukuaji wao?
 
mbao tupu ambayo iko uchi kabisa, huyo mdudu ni mtiti kufa, (maana mwili wake umefichwa na kava mithili ya shell ivi )
sasa hapo mbao imefunikwa na vitambaa πŸ˜€ kazi unayo
😭😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…