Anayejua dawa ya kuua hawa wadudu anisaidie

Kuna vitu watu huwa wanapuuzia ila vina wacost sana katika ujenzi. Ndugu zangu oil chafu ukichanganya na chumvi ya mawe hamna mdudu atagusa mbao zao iwe ni kenchi au lolote. Unajenga nyumba ha mamilioni ya pesa unashindwa kwenda gereji kuchukua oil chafu uchanganye na chumvi upake kwenye kenchi zako😁
 
'yuropu' ya keko hiyo.
 
Paka rangi ya kuzuia kutu redoxide, pia hifanya mbao iwe ngumu.
Ukinunua fanicha usinunue mbao nyeupe ua ubao wenye michirizi myeupe, hawa wadudu hupenda mbao laini, mbao nyeupe ni laini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…