Anayejua Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli alimaanisha nini aliposema haya atusaidie

Uliuliwa lini na kubambikiwa kesi gani wewe jamaa baada ya kuokotwa kwenye kiroba? Kisha ukafufuka kuja kuchangia mada jf?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Eti virus wa Corona walionekana kwenye mapapai, oil chafu etc. Hivi ni Nani alipika huu uwongo?
 
Yes, you are right, ......Uttoh was the best CAG ever.....
 
Haaa haaaa Asad na Yule mtafiti wa WHO
 
Marehemu asemehewe, mzee Dialo alishamaliza, kwa wale ambao hawakuwa wanafahamu. Marehemu alizuia mpaka watu wengine wasitoe takwimu wala kufanya utafiti. Akataka watu wote wawe wajinga ili akisema hii ni tati, kusiwepo na wa kuuliza, hii ni tati gani mbona haina matumbo mawili, imenyoka kama fimbo?

Kwa hiyo hata takwimu alizokuwa akizitoa zilikuwa hazina na maana kwa sababu uhuru na weledi wa kuhakiki aliuondoa.

Rais Magufuli ilikiwa no zawadi kubwa kwa wajinga maana hao aliwadanganya wakati wote, na wenyewe wakabaki wakishangilia na kukenua meno kama mazuzu.
 
Yes leteni hizo fact tujadili, CCM hakuna anayelipwa ni Uzalendo kwa Taifa na Rais wetu,
Hutakiwa kuwamzalendo kwa Rais au mwingine yeyote isipokuwa kwa Taifa lako tu.

Ukitaka kuwa mzalendo kwa Samia, omba kazi za kuhudumia familia yake, uishi hapo kwao, uioneshe familia yake jinsi unavyipenda kiasi cha kuwa tayari hata kufa kwaajili ya familia yake.
 
trilioni 1.5 hesabu ziligoma. number dont........mzee alitupiga hapa sio bure
 
Andiko zuri sana, kunawatu wanadhani kumlinganisha Rais Magufuli na Rais Samia ni kumuhujuma no ,
 
Wewe ni zaidi ya Mwl nadhani tayari wameelewa vizuri,
Kumlinganisha Rais Samia ni Hayati Rais Magufuli kwa mambo mema ni Jambo jema sana endelea mkuu,
😍😍 Pamoja Chief, Sifa ni kwa Mungu wetu
 
Nakushauri jikite na Mama. Achana na awamu za nne na tano. Jikite na awamu ya sita. Kumbuka kuna awamu za Saba na Nane zitakuja na kupita pia, nazo wajuvi watazipigia comparison analys na awamu ya leo。Naona unaanza kupoteza uelekeo. No hayo tu.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Watu na legacy zao, Unataka amfananishe Mama na Mzee Mwinyi?
Comparison zipo mpaka Mbinguni, Acha tuendelee kufunuliwa macho
 
Hoja nzuri sanaa
 
Wewe ni mjinga tu hebu wewe jikite tuone
 
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…