Anayejua Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli alimaanisha nini aliposema haya atusaidie

Uliuliwa lini na kubambikiwa kesi gani wewe jamaa baada ya kuokotwa kwenye kiroba? Kisha ukafufuka kuja kuchangia mada jf?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Amani iwe nanyi wanaJf,

Leo nilikuwa napitia hotuba na machapisho mbalimbali ya Rais wetu kipenzi Hayati Dk Johnb John Joseph Pombe Magufuli kunajambo naomba mwenye ufahamu watusaidie japo na mimi nachagiza kidogo,

Kwenye hotuba zake zote Katika kila alichotamka alijilinganisha na Rais wa awamu ya nne Dk Jakaya Mrisho Kikwete na yeye mara zote aliibuka kuwa mshindi na hadhira wakati wote ilimshangilia kwa nderemo na vifijo,fine

HOJA YANGU,

1. Je! Hayati Rais Magufuli alilenga kuonesha Mzee Kikwete hakufanya lolote au aliamini katika "Comparative analysis|advantage" kama njia bora ya kuelezea ubora wa mtu |kitu? ili kuisaidia hadhira kutambua vizuri "Ilikotoka, Iliko na inakokwenda ?

2. Je! Wale tunaoiga mtindo huu mzuri wa Hayati Rais Magufuli wa kutumia "Comparative advantage " dhidi yake yeye mwenyewe na Rais aliyeko madarakani tunamkosea Hayati Rais Mafuli na Wale wanaoilinda legacy yake?

Kwa ufahamu wangu, sikweli kwamba Hayati Rais Magufuli alilenga kuonesha Mzee Kikwete hakufanya lolote laa hasha ila alitaka wananchi tuelewe zaidi tulikotoka,tulipo na tunapokwenda vivyo hivyo wanaotumia " Comparative analysis " dhidi ya Hayati Rais Magufuli na Rais Samia nadhani wanamaana ileile aliyokuwanayo Hayati Rais Magufuli,

Angalia hizi picha,nilikozungushia ni refence ya mwaka 2015 aliyoifanya dhidi ya Mzee Jakaya Mrisho Kikwete,

View attachment 2000783

View attachment 2000784

View attachment 2000785

View attachment 2000786

View attachment 2000789
Eti virus wa Corona walionekana kwenye mapapai, oil chafu etc. Hivi ni Nani alipika huu uwongo?
 
Angekuwa na ethics asingelihangaika na wanasiasa, yule ni mwanasiasa tu Kama wengine kikubwa ajitanabaishe Kama wenzie maisha yaendelee.
Kwani Assad ni Profesa wa kwanza au CAG wa kwanza? Uttoh was the best hajawahi argue na wanasiasa kwakuwa alikuwa na akili timamu sio huyo Assad ambae baada ya kitumbua chake kuungua huko NSSF kwa DAU akaanza makasiriko.
Mwambie aingie siasani kwa uwazi ili akutane na wanasiasa wenzie.
Yes, you are right, ......Uttoh was the best CAG ever.....
 
Men lie women lie but numbers don’t lie… Magufuli alilijia hili vizuri sana na ndio maana alihakikisha hesabu zake zinasomeka kwa watanzania wengi, takwimu ndio zinaweza kukubeba ama kukuzika nadhani ndio maana hakucheka na nyani (professor Assad) alipotaka kuchezesha takwimu za utawala wake, Namba zisipozingatiwa ama kuchezewa inakuwa ni business as usual.
Haaa haaaa Asad na Yule mtafiti wa WHO
 
Men lie women lie but numbers don’t lie… Magufuli alilijia hili vizuri sana na ndio maana alihakikisha hesabu zake zinasomeka kwa watanzania wengi, takwimu ndio zinaweza kukubeba ama kukuzika nadhani ndio maana hakucheka na nyani (professor Assad) alipotaka kuchezesha takwimu za utawala wake, Namba zisipozingatiwa ama kuchezewa inakuwa ni business as usual.
Marehemu asemehewe, mzee Dialo alishamaliza, kwa wale ambao hawakuwa wanafahamu. Marehemu alizuia mpaka watu wengine wasitoe takwimu wala kufanya utafiti. Akataka watu wote wawe wajinga ili akisema hii ni tati, kusiwepo na wa kuuliza, hii ni tati gani mbona haina matumbo mawili, imenyoka kama fimbo?

Kwa hiyo hata takwimu alizokuwa akizitoa zilikuwa hazina na maana kwa sababu uhuru na weledi wa kuhakiki aliuondoa.

Rais Magufuli ilikiwa no zawadi kubwa kwa wajinga maana hao aliwadanganya wakati wote, na wenyewe wakabaki wakishangilia na kukenua meno kama mazuzu.
 
Yes leteni hizo fact tujadili, CCM hakuna anayelipwa ni Uzalendo kwa Taifa na Rais wetu,
Hutakiwa kuwamzalendo kwa Rais au mwingine yeyote isipokuwa kwa Taifa lako tu.

Ukitaka kuwa mzalendo kwa Samia, omba kazi za kuhudumia familia yake, uishi hapo kwao, uioneshe familia yake jinsi unavyipenda kiasi cha kuwa tayari hata kufa kwaajili ya familia yake.
 
Men lie women lie but numbers don’t lie… Magufuli alilijia hili vizuri sana na ndio maana alihakikisha hesabu zake zinasomeka kwa watanzania wengi, takwimu ndio zinaweza kukubeba ama kukuzika nadhani ndio maana hakucheka na nyani (professor Assad) alipotaka kuchezesha takwimu za utawala wake, Namba zisipozingatiwa ama kuchezewa inakuwa ni business as usual.
trilioni 1.5 hesabu ziligoma. number dont........mzee alitupiga hapa sio bure
 
Amani iwe nanyi wanaJf,

Leo nilikuwa napitia hotuba na machapisho mbalimbali ya Rais wetu kipenzi Hayati Dk Johnb John Joseph Pombe Magufuli kunajambo naomba mwenye ufahamu watusaidie japo na mimi nachagiza kidogo,

Kwenye hotuba zake zote Katika kila alichotamka alijilinganisha na Rais wa awamu ya nne Dk Jakaya Mrisho Kikwete na yeye mara zote aliibuka kuwa mshindi na hadhira wakati wote ilimshangilia kwa nderemo na vifijo,fine

HOJA YANGU,

1. Je! Hayati Rais Magufuli alilenga kuonesha Mzee Kikwete hakufanya lolote au aliamini katika "Comparative analysis|advantage" kama njia bora ya kuelezea ubora wa mtu |kitu? ili kuisaidia hadhira kutambua vizuri "Ilikotoka, Iliko na inakokwenda ?

2. Je! Wale tunaoiga mtindo huu mzuri wa Hayati Rais Magufuli wa kutumia "Comparative advantage " dhidi yake yeye mwenyewe na Rais aliyeko madarakani tunamkosea Hayati Rais Mafuli na Wale wanaoilinda legacy yake?

Kwa ufahamu wangu, sikweli kwamba Hayati Rais Magufuli alilenga kuonesha Mzee Kikwete hakufanya lolote laa hasha ila alitaka wananchi tuelewe zaidi tulikotoka,tulipo na tunapokwenda vivyo hivyo wanaotumia " Comparative analysis " dhidi ya Hayati Rais Magufuli na Rais Samia nadhani wanamaana ileile aliyokuwanayo Hayati Rais Magufuli,

Angalia hizi picha,nilikozungushia ni refence ya mwaka 2015 aliyoifanya dhidi ya Mzee Jakaya Mrisho Kikwete,

View attachment 2000783

View attachment 2000784

View attachment 2000785

View attachment 2000786

View attachment 2000789
Andiko zuri sana, kunawatu wanadhani kumlinganisha Rais Magufuli na Rais Samia ni kumuhujuma no ,
 
Wewe ni zaidi ya Mwl nadhani tayari wameelewa vizuri,
Kumlinganisha Rais Samia ni Hayati Rais Magufuli kwa mambo mema ni Jambo jema sana endelea mkuu,
😍😍 Pamoja Chief, Sifa ni kwa Mungu wetu
 
Amani iwe nanyi wanaJf,

||Leo nilikuwa napitia hotuba na machapisho mbalimbali ya Rais wetu kipenzi Hayati Dk Johnb John Joseph Pombe Magufuli kunajambo naomba wenye ufahamu watusaidie japo na mimi nitachagiza kidogo kwa uelewa nilionao||

||Kwenye hotuba zake karibu zote Katika kila alichotamka kwa idadi alijilinganisha na Rais wa awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na yeye mara zote aliibuka kuwa mshindi na hadhira wakati wote ilimshangilia kwa nderemo na vifijo,fine||

HOJA YANGU HII HAPA,
______________________

1. Je! Hayati Rais Magufuli alilenga kuonesha kuwa Mzee Kikwete hakufanya lolote au aliamini katika "Comparative analysis|advantage" kama njia bora zaidi ya kuelezea ubora wa mtu |kitu? ili kuisaidia hadhira husika kutambua vizuri "Ilikotoka, Iliko na inakokwenda ?

2. Je! Wale tunaoiga mtindo huu mzuri wa Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli wa kutumia "Comparative advantage " dhidi yake yeye mwenyewe na Rais aliyeko madarakani yaani Rais Samia Suluhu Hassan tunamkosea Hayati Rais Dkt John John Joseph Pombe Mafuli ?!

Kwa ufahamu wangu, sikweli kwamba Hayati Rais Magufuli alilenga kuonesha Mzee Jakaya Kikwete hakufanya lolote laa hasha ila alitaka wananchi tuelewe zaidi tulikotoka,tulipo na tunapokwenda vivyo hivyo wanaotumia " Comparative analysis " dhidi ya Hayati Rais Magufuli na Rais Samia nadhani nawao wanamaana ileile aliyokuwanayo Hayati Dk John John Pombe Magufuli,

Angalia hizi picha,nilikozungushia ni refence ya mwaka 2015 aliyoifanya Hayati Dk John John Joseph Pombe Magufuli dhidi ya Mzee Jakaya Mrisho Kikwete,

View attachment 2000783

View attachment 2000784

View attachment 2000785

View attachment 2000786
Nakushauri jikite na Mama. Achana na awamu za nne na tano. Jikite na awamu ya sita. Kumbuka kuna awamu za Saba na Nane zitakuja na kupita pia, nazo wajuvi watazipigia comparison analys na awamu ya leo。Naona unaanza kupoteza uelekeo. No hayo tu.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Watu na legacy zao, Unataka amfananishe Mama na Mzee Mwinyi?
Comparison zipo mpaka Mbinguni, Acha tuendelee kufunuliwa macho
 
Amani iwe nanyi wanaJf,

||Leo nilikuwa napitia hotuba na machapisho mbalimbali ya Rais wetu kipenzi Hayati Dk Johnb John Joseph Pombe Magufuli kunajambo naomba wenye ufahamu watusaidie japo na mimi nitachagiza kidogo kwa uelewa nilionao||

||Kwenye hotuba zake karibu zote Katika kila alichotamka kwa idadi alijilinganisha na Rais wa awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na yeye mara zote aliibuka kuwa mshindi na hadhira wakati wote ilimshangilia kwa nderemo na vifijo,fine||

HOJA YANGU HII HAPA,
______________________

1. Je! Hayati Rais Magufuli alilenga kuonesha kuwa Mzee Kikwete hakufanya lolote au aliamini katika "Comparative analysis|advantage" kama njia bora zaidi ya kuelezea ubora wa mtu |kitu? ili kuisaidia hadhira husika kutambua vizuri "Ilikotoka, Iliko na inakokwenda ?

2. Je! Wale tunaoiga mtindo huu mzuri wa Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli wa kutumia "Comparative advantage " dhidi yake yeye mwenyewe na Rais aliyeko madarakani yaani Rais Samia Suluhu Hassan tunamkosea Hayati Rais Dkt John John Joseph Pombe Mafuli ?!

Kwa ufahamu wangu, sikweli kwamba Hayati Rais Magufuli alilenga kuonesha Mzee Jakaya Kikwete hakufanya lolote laa hasha ila alitaka wananchi tuelewe zaidi tulikotoka,tulipo na tunapokwenda vivyo hivyo wanaotumia " Comparative analysis " dhidi ya Hayati Rais Magufuli na Rais Samia nadhani nawao wanamaana ileile aliyokuwanayo Hayati Dk John John Pombe Magufuli,

Angalia hizi picha,nilikozungushia ni refence ya mwaka 2015 aliyoifanya Hayati Dk John John Joseph Pombe Magufuli dhidi ya Mzee Jakaya Mrisho Kikwete,

View attachment 2000783

View attachment 2000784

View attachment 2000785

View attachment 2000786
Hoja nzuri sanaa
 
.
 
Back
Top Bottom