Anayejua kuhusu biashara ya michezo ya bonanza

MR LINKO

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Posts
3,034
Reaction score
3,526
Habari wakuu,

kuna wazo moja nimepata la kuweka haya madude ya wachina kwenye moja ya frame nilionayo, nataka kuanzisha haya ma bonanza kidogo walau paweze kuchangamka maana pamedorora kweli. Kwa anayejua faida yake na hasara zake, na kama kuna changamoto tofauti na wateja pia naomba kujua.

NB: Mmoja wa vijana kaniambia kuwa zinalipa sana na mwingine kaniambia kuwa hazina faida hata kidogo, huwa zina kuwa na hasara. Hapo nipo njia panda.

Sasa kama wewe una A-B-C tafadhali naomba unipe ufafanuzi, shukran.
 
kwa Simulizi nilizonazo fedha imo, ila Operating Mechanism yake ongea na wachina vizuri... [emoji851]
 
dah haya madude yanapesa sana we hujafikilia kwa nini mchina katoka china kaja kuzulula kijijini? nichek DM nikupe nondo
 
Habari wakuu,

kuna wazo moja nimepata la kuweka haya madude ya wachina kwenye moja ya frame nilionayo, nataka kuanzisha haya ma bonanza kidogo walau paweze kuchangamka maana pamedorora kweli. Kwa anayejua faida yake na hasara zake, na kama kuna changamoto tofauti na wateja pia naomba kujua.

NB: Mmoja wa vijana kaniambia kuwa zinalipa sana na mwingine kaniambia kuwa hazina faida hata kidogo, huwa zina kuwa na hasara. Hapo nipo njia panda.

Sasa kama wewe una A-B-C tafadhali naomba unipe ufafanuzi, shukran.
Hasara unaweza kuipata pale wakipita wahuni na vitochi wakimulika mashine inamwaga pesa zote.
Kwahiyo jitahidi uimarishe ulinzi siyo tu kauchia tu mashine wewe uko busy ama kijana unaemwachia nae anaacha tu ofisi na kuzurula
 
Back
Top Bottom