MR LINKO
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,034
- 3,526
Habari wakuu,
kuna wazo moja nimepata la kuweka haya madude ya wachina kwenye moja ya frame nilionayo, nataka kuanzisha haya ma bonanza kidogo walau paweze kuchangamka maana pamedorora kweli. Kwa anayejua faida yake na hasara zake, na kama kuna changamoto tofauti na wateja pia naomba kujua.
NB: Mmoja wa vijana kaniambia kuwa zinalipa sana na mwingine kaniambia kuwa hazina faida hata kidogo, huwa zina kuwa na hasara. Hapo nipo njia panda.
Sasa kama wewe una A-B-C tafadhali naomba unipe ufafanuzi, shukran.