Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
- Thread starter
- #21
Nchi inachekesha hiiUpigaji wa kuchekeza yani robot gani yule kazidiwa mpaka na kile kidude kinaitwa alexa cha majumbani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi inachekesha hiiUpigaji wa kuchekeza yani robot gani yule kazidiwa mpaka na kile kidude kinaitwa alexa cha majumbani
labda angetengenezwa na watanzania kuonyesha kazi ya vijana wetu ni sawa tuna la kujivuniaRobot kama robot anaweza asiwe na faida zenye mantic kubwa ila akawa ni taswira ya uwezo wa kitechnologia wa nchi husia kilipo fikia !! Hii inatoa picha ya matumizi na uwezo wa technologia ya maeneo mengine.
kama robot n mdoli wa vile nadhan umepata picha jinsi gan technologia duni iliyopo kwene idara zingine kama maji na umeme hata utendaji kazi uliopo ndo uko ivo ivo wa kuunga unga! hakuwezi kua na maajabu
uchafu huulabda angetengenezwa na watanzania kuonyesha kazi ya vijana wetu ni sawa tuna la kujivunia
Model ya technologia ya marobotTanganyika kuna vichekesho sana, sasa hilo roboti la kazi gani?
Mimi leo nimeshacheka hadi basi, bora angekuwa robot wa mtaani ila sio wa kwenda kupelekwa hadi bungeni.
Aisee angekua mtu binafsi ingekua sawa lakini si serikali ya 78B GDPMimi leo nimeshacheka hadi basi, bora angekuwa robot wa mtaani ila sio wa kwenda kupelekwa hadi bungeni.
Hii nchi sijui tunaweza kufanya nini kwa usahihi, sanamu ya Nyerere tu ilitushinda!
whaaatHuyo kagharimu bil 20
SIDOAmetengenezwa wapi?
Hivi kwa nini mnapenda kutudhihaki sisi wa Namtumbo(kwa mama) na Nachingwea?(kwa baba)Kifupi si kila technologia lazima iwe ina uhusiano na maji na umeme!
Naomba nikuweke sawa hapa!!
Ingawa wameboronga lakini kila kitu kuhusianisha na mwananchi wa kijijini au wa huko nachingwea au namtumbo si sawa
ha ha ha sasa kwa lile robot ndo la kuwakilisha nchi kweliHivi kwa nini mnapenda kutudhihaki sisi wa Namtumbo(kwa mama) na Nachingwea?(kwa baba)
sijakiona hichoSijavutiwa na huyu robot Eunice kama nilivyokuwa navutiwa na kile kikaragosi cha miaka ile kilichokuwa kikichezeshwa huku kikiwa na bonge la msambwanda na kikijulikana kama Joyce Wowowo.
Waziri wa genye
Pengine ni vile wewe ni kijana wa juzi tu.sijakiona hicho
ha ha haMi nnachojua ni kwamba roboti kapaka wanja
yupiPengine ni vile wewe ni kijana wa juzi tu.
ha haWaziri wa genye