Amigoh
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 2,045
- 2,975
Ni kile kimashine cha dawa ya Mmbu kimevishwa Ile midoli ya kuuzia nguo, alafu kikapakwa rangi ๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kile kimashine cha dawa ya Mmbu kimevishwa Ile midoli ya kuuzia nguo, alafu kikapakwa rangi ๐๐๐
Kwa kifupi Nape amezingua project kama hiyo ilitakiwa itangazwe kama tenda nyingine tujue Ni kampuni gani ilishinda hiyo tenda Ila kwakuwa Ni mzee WA kujifanya Yuko mbele ya Muda na kutaka sofa ameenda kujiaibisha mbele ya ulimwengu hamna kilu hapo Zaidi ya Pesa zetu za Kodi kupotezwa yani siasa na Mambo ya teknolojia kama hivyo hayawezi kukaa sehemu moja
๐๐๐๐Ni kile kimashine cha dawa ya Mmbu kimevishwa Ile midoli ya kuuzia nguo, alafu kikapakwa rangi ๐๐๐
180mUliza bei yake kwanza tuone!
Huyo mdoli wa nape sio taswira halisi ya maendeleo ya Sekta ya Teknolojia ya habari na amawasiliano hapa nchini, huo ni usanii aliopeleka bungeni kuwashangaza kina babu tale na msukuma. Nimetembelea UDOM na DIT wana Project nyingi nzuri tu za robotics & automation kuliko huo utopolo wa nape. Mtu kaleta wapiga dili kutoka SA kuja kuleta kituko nchini, ni aibu sanaRobot kama robot anaweza asiwe na faida zenye mantic kubwa ila akawa ni taswira ya uwezo wa kitechnologia wa nchi husia kilipo fikia !! Hii inatoa picha ya matumizi na uwezo wa technologia ya maeneo mengine.
kama robot n mdoli wa vile nadhan umepata picha jinsi gan technologia duni iliyopo kwene idara zingine kama maji na umeme hata utendaji kazi uliopo ndo uko ivo ivo wa kuunga unga! hakuwezi kua na maajabu
Mkuu huko vyuoni kuna robot??Huyo mdoli wa nape sio taswira halisi ya maendeleo ya Sekta ya Teknolojia ya habari na amawasiliano hapa nchini, huo ni usanii aliopeleka bungeni kuwashangaza kina babu tale na msukuma. Nimetembelea UDOM na DIT wana Project nyingi nzuri tu za robotics & automation kuliko huo utopolo wa nape. Mtu kaleta wapiga dili kutoka SA kuja kuleta kituko nchini, ni aibu sana
mmhHamna roboti hapo, wa South Africa wamechukua mpunga wa bure bure. Ni hatari sana kuweka mtu kilaza mbumbumbu hoehae wa akili kwenye wizara nyeti kama ya TEHAMA.
huo ni mdoli babasasa booking fee ni 180m+ sasa gharama za kumnunua utaskia 1b watu washapata hela za uchaguzi๐๐๐
na tukumbuke huyu robot wa tz sio sophia og na ana mapungufu kama yote.....
Mkuu kama bado unaishi nyumba ya urithi hama...๐๐Sijavutiwa na huyu robot Eunice kama nilivyokuwa navutiwa na kile kikaragosi cha miaka ile kilichokuwa kikichezeshwa huku kikiwa na bonge la msambwanda na kikijulikana kama Joyce Wowowo.
mi hata hyo video sijaonaWametuweza Sana Sana
Nilichoona Kupeana Mikono Tu
naona tu picha zakeWametuweza Sana Sana
Nilichoona Kupeana Mikono Tu
Una kitu mkubwa nimekuelewa sana.Kifupi si kila technologia lazima iwe ina uhusiano na maji na umeme!
Naomba nikuweke sawa hapa!!
Ingawa wameboronga lakini kila kitu kuhusianisha na mwananchi wa kijijini au wa huko nachingwea au namtumbo si sawa
pamoja mkuuUna kitu mkubwa nimekuelewa sana.
Aloooooh lamba loloooView attachment 2992613
Kula chuma hicho
MtamaAmetengenezwa wapi?