Anayejua kuhusu huyu Roboti wa Tanzania anisimulie vizuri. Naona mitandaoni amekua gumzo

Anayejua kuhusu huyu Roboti wa Tanzania anisimulie vizuri. Naona mitandaoni amekua gumzo

Kwenu wataalam wa maroboti.

View attachment 2992470
Kwa kifupi Nape amezingua project kama hiyo ilitakiwa itangazwe kama tenda nyingine tujue Ni kampuni gani ilishinda hiyo tenda Ila kwakuwa Ni mzee WA kujifanya Yuko mbele ya Muda na kutaka sofa ameenda kujiaibisha mbele ya ulimwengu hamna kilu hapo Zaidi ya Pesa zetu za Kodi kupotezwa yani siasa na Mambo ya teknolojia kama hivyo hayawezi kukaa sehemu moja
 
sasa booking fee ni 180m+ sasa gharama za kumnunua utaskia 1b watu washapata hela za uchaguzi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

na tukumbuke huyu robot wa tz sio sophia og na ana mapungufu kama yote.....
 
Attachments

  • IMG_20240517_142244.jpg
    IMG_20240517_142244.jpg
    63.6 KB · Views: 7
Robot kama robot anaweza asiwe na faida zenye mantic kubwa ila akawa ni taswira ya uwezo wa kitechnologia wa nchi husia kilipo fikia !! Hii inatoa picha ya matumizi na uwezo wa technologia ya maeneo mengine.

kama robot n mdoli wa vile nadhan umepata picha jinsi gan technologia duni iliyopo kwene idara zingine kama maji na umeme hata utendaji kazi uliopo ndo uko ivo ivo wa kuunga unga! hakuwezi kua na maajabu
Huyo mdoli wa nape sio taswira halisi ya maendeleo ya Sekta ya Teknolojia ya habari na amawasiliano hapa nchini, huo ni usanii aliopeleka bungeni kuwashangaza kina babu tale na msukuma. Nimetembelea UDOM na DIT wana Project nyingi nzuri tu za robotics & automation kuliko huo utopolo wa nape. Mtu kaleta wapiga dili kutoka SA kuja kuleta kituko nchini, ni aibu sana
 
Mkuu huko vyuoni kuna robot??
tunaomba kuona
 
Sijavutiwa na huyu robot Eunice kama nilivyokuwa navutiwa na kile kikaragosi cha miaka ile kilichokuwa kikichezeshwa huku kikiwa na bonge la msambwanda na kikijulikana kama Joyce Wowowo.
Mkuu kama bado unaishi nyumba ya urithi hama...๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
huyu ni wa ethiopia
 
Attachments

  • 1E08C9C4-4EDC-46CB-966E-5127DCEF0443.jpeg
    1E08C9C4-4EDC-46CB-966E-5127DCEF0443.jpeg
    45 KB · Views: 6
  • 65750A34-A5C4-48F0-A10F-D3882ACC3F25.jpeg
    65750A34-A5C4-48F0-A10F-D3882ACC3F25.jpeg
    24.8 KB · Views: 4
Back
Top Bottom