Anayejua kuhusu huyu Roboti wa Tanzania anisimulie vizuri. Naona mitandaoni amekua gumzo

Anasaidia kuwachangamsha wabunge akili na kutoa ajira kwa anaye muhudumia jibu rahisi ni matumizi mabaya ya pesa na rasilimali watu
 
Sijafuatilia ila kama ni hivyo basi hali ni tete tunaaibika huko duniani.
 
Faida tatu ni nyingi sana,mimi nahitaji faida moja tu ya huyo robot hapo bungeni.
 
CCM matopeni tena, hela za nchi hii zinaliwa kifala sana na wahuni wachache waliohamua kushibisha matumbo yao kwa vimiradi vya kijinga kijinga.
 
Mbona wamesema ametengenezwa na vijana wa kitanzania kwa kushirikiana na wa Africa kusini?
Upo uwezekano kuna gunduzi nyingi africa ila kukosa ufualitiaji tunajikuta idea zimeporwa na badae tunakuja uziwa, hizi humanoid za kienyeji zipo, kuna ngongoti joycewowowo vibwengo chenge gadi, etc
 
Kishimba kila siku anaimba juu ya creativity tunaishia kumcheka tu, tunahitaji kutenga budget za idea creation na vijana kwa wazee wafanye presentation, watu kama dr livingstone walitumwa na vyuo kuja kufanya exploration africa.

Juzi mh kishimba alihoji kuishi kwenye nyumba ya nyasi ni umasikini? Jibu hakupata waliambulia kicheko tu
 
ohooo
 
Upo uwezekano kuna gunduzi nyingi africa ila kukosa ufualitiaji tunajikuta idea zimeporwa na badae tunakuja uziwa, hizi humanoid za kienyeji zipo, kuna ngongoti joycewowowo vibwengo chenge gadi, etc
ni kweli kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ