Anayejua location ya Body Massage ya bei chee aniambie, nataka kutoa ushamba na Ku relax pia

Vyovyote iwavyo iwe Spa, Massage au Sauna, hiyo kei yake haitahusika. Itahusika akitaka yeye. Atakuwa tuu alikwenda na wenge jamaa wakamkataa. 😊
Au havutii umbo na Sura yake, maana wale ma men wa kwenye saluni Wana njaa Sana wasingekataa hiyo request, it cost them nothing lakini bado walikataa
 
Au havutii umbo na Sura yake, maana wale ma men wa kwenye saluni Wana njaa Sana wasingekataa hiyo request, it cost them nothing lakini bado walikataa

Kutakuwa na namna, zile ni biashara na mteja ni mfalme. Wapo watu wanaenda kupata Sauna tuu, hawafanyiwi Spa wala Massages. Anaingia tuu kwenye chumba cha joto, anatolewa jasho, sumu (Detoxification). Anaondoka hakuna mtu anamshika.
Shobo za kushikana sehemu nyeti, wanaleta watu wenyewe kwa genye zao.
 
Ahaa kumbe kushikwa shikwa ni wewe uptake au wanakuuliza kama unataka na hii?
 
Chukua taxi/Uber hadi Manzese darajani ukifika pale chukua bodaboda mwambie akupeleke uwanja wa fisi.
 
Kijana fanya palizi msimu umekaribia bei ya pembejeo si unajua iko juu ma ccm hawana huruma sasa we elekeza hizo pesa kwny spa tukukute na na deni kwny agrovet
Hahaha asante Mzee umenisanua, kwani Sisi wakulima hamtaki tufurahie maisha kama nyinyi japo siku moja?
 
Ni tiba zenye Starehe ndani take sio tiba ya homa
 
Umetumia guideline ya Nchi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…