Anayejua location ya Body Massage ya bei chee aniambie, nataka kutoa ushamba na Ku relax pia

Hahahaha eti ndezi kuelekea juu.

Ila 30min ndogo sana kuteketeza wekundu wako 3.
 
NB: Hawa watu sio masseuse yaani hawana utaalamu wowote, ni vitoto tu, ukitaka professional nenda Massaki Mikocheni uko Kuna Spa za Wachina, JP, Korea, nk. Hao ni professional. Ila Bei hadi $30 kwa nusu saa.
Yeah.
Masaki pale unapata huduma ya massage ya wachina, wathailand, wafilipino, wajapan, na wakorea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…