Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 15,670
- 14,647
Mwalimu wangu wa biashara 1987 aliniambia (if you do not know where you are going any road will take you there) tulikuwa kwenye somo la kuandika business plan kwamba kabla ya kufanya biashara yoyote lazima uwe na mpango wa biashara uliondikwa fanya makosa kwenye karatasi siyo kwenye biashara ( sit on our pants and make mistake on papers not in business)Mwl Nyerere aliwahi kusema "hatuwezi kuwa na rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana.
Hatujui mwelekeo wa nchi kiukweli hatujui kesho atafukuzwa na nani au ziara ya rais au waziri mkuu itakuwa wapi. Hatujui kama tutaamka tunafagia barabara au tutaingia ofisini kwetu kama kawaida.
Hatujui tunaanza na nini, kujenga viwanda au kuboresha miundombinu na kuimarisha kilimo ili tupate malighafi.
Hatujui tatizo la sukari kwa mfano linaondoka kwa kurekebisha viwanda vyetu na kuongeza uzalishaji wa miwa au kuruhusu sukari ya nje au tuvamie magodauni ya watu
Ukimuangalia usoni na ukasikia anachotamka unakiri ana nia kabisa ya kututoa hapa. Swali ni je? anajua jinsi ya kututoa?
Anajua anakotupeleka? Nimejitahidi kuangalia bunge ili nione labda mawaziri wake wanaweza kuonyesha mwelekeo, huko nikachanganyikiwa zaidi.
Mwanamtandao mmoja alisema unaweza kuwa na dereva mzuri anayefuata sheria zote za barabarani lakini hajui anaenda wapi!
Issue sio katiba. Kinachohitajika ni uzalendo tu. Uongozi wa nchi sio kitu cha mchezo. Ukiona sio size yako unakaa pembeni unaachia wengine sio kufanya majaribio huku anatuvurugia uchumi wa nchi yetu.Kwa katiba ambayo iko sawa na inafuatwa bunge ndiyo linatakiwa limtumbue raisi.
Kwa maoni yangu, Ukiachilia swala la one mistake go home, vile kuwa na matumizi ambayo hayajapitishwa na bunge inatosha kwa bunge kuonesha halina imani na raisi kwa kua yeye hana imani na bunge.
Lakini siioni Tanzania ya kumtoa kiongozi mkubwa kama waziri mkuu au raisi kwa sasa kupitia kura ya kukosa imani na kiongozi husika.
Nimetumia pia neno kujiuzulu. Anaweza kujitumbua mwenyewe kwa kujiuzulumleta mada km si kuchanganyiwa sijui
yaani rais ajitumbue........
hivi unafikiria nini
aiseeeee nchi itatikisikaNimetumia pia neno kujiuzulu. Anaweza kujitumbua mwenyewe kwa kujiuzulu
Issue sio katiba. Kinachohitajika ni uzalendo tu. Uongozi wa nchi sio kitu cha mchezo. Ukiona sio size yako unakaa pembeni unaachia wengine sio kufanya majaribio huku anatuvurugia uchumi wa nchi yetu.
Malisa acha kulialia, inabidi ujifunze kuheshimu mawazo ya wenzio.
Kwa taarifa yako dhambi ya kubadili gia angani na kuuza chama kwa mafisadi itawatafuna milele na huu ni mwanzo tu.
Chadema ya Leo ni watetezi wa kila aina ya maovu ya nchi hii .
Kubenea anajaribu kuweka hadharani usanii wa viongozi wa chadema lakini wewe Malisa na bavicha mnajaribu kuficha!!!
Kumbuka hata ulipoenea uvumi kwamba lowasa ameuziwa chadema na atagombea urais, ulijitokeza kupinga sana habari hizo, lakini leo ndio muogeshaji na mbeba viatu mkuu wa lowasa!!!
Bado unatakiwa kuaminiwa tena na jamii???
Watafanya hicho unachofikiria ww endapo atatumia fedha kwa manufaa yake binafsi, usidhani anachukua pesa kienyeji bro, unajua sisi tunaopata viuzushi kwenye mitandao tunaona kama anafanya kosa, lakini sheria inamruhusu kufanya anavofanya bro. Na yote anayoyafanya ni kwa faida yetu sote ntakushangaa sana kulalamika kanakwamba hayo maendeleo yanafanyika Kenya au Uganda.Kwa katiba ambayo iko sawa na inafuatwa bunge ndiyo linatakiwa limtumbue raisi.
Kwa maoni yangu, Ukiachilia swala la one mistake go home, vile kuwa na matumizi ambayo hayajapitishwa na bunge inatosha kwa bunge kuonesha halina imani na raisi kwa kua yeye hana imani na bunge.
Lakini siioni Tanzania ya kumtoa kiongozi mkubwa kama waziri mkuu au raisi kwa sasa kupitia kura ya kukosa imani na kiongozi husika.
km si uwendawazimu basi uchizi unakumendeaMalisa acha kulialia, inabidi ujifunze kuheshimu mawazo ya wenzio.
Kwa taarifa yako dhambi ya kubadili gia angani na kuuza chama kwa mafisadi itawatafuna milele na huu ni mwanzo tu.
Chadema ya Leo ni watetezi wa kila aina ya maovu ya nchi hii .
Kubenea anajaribu kuweka hadharani usanii wa viongozi wa chadema lakini wewe Malisa na bavicha mnajaribu kuficha!!!
Kumbuka hata ulipoenea uvumi kwamba lowasa ameuziwa chadema na atagombea urais, ulijitokeza kupinga sana habari hizo, lakini leo ndio muogeshaji na mbeba viatu mkuu wa lowasa!!!
Bado unatakiwa kuaminiwa tena na jamii???
Hivi malisa kaingiaje humu?Malisa acha kulialia, inabidi ujifunze kuheshimu mawazo ya wenzio.
Kwa taarifa yako dhambi ya kubadili gia angani na kuuza chama kwa mafisadi itawatafuna milele na huu ni mwanzo tu.
Chadema ya Leo ni watetezi wa kila aina ya maovu ya nchi hii .
Kubenea anajaribu kuweka hadharani usanii wa viongozi wa chadema lakini wewe Malisa na bavicha mnajaribu kuficha!!!
Kumbuka hata ulipoenea uvumi kwamba lowasa ameuziwa chadema na atagombea urais, ulijitokeza kupinga sana habari hizo, lakini leo ndio muogeshaji na mbeba viatu mkuu wa lowasa!!!
Bado unatakiwa kuaminiwa tena na jamii???
Kwanini unadhania kua kutumia pesa ndiyo kunatosha kupiga kura ya kukosa imani?Watafanya hicho unachofikiria ww endapo atatumia fedha kwa manufaa yake binafsi, usidhani anachukua pesa kienyeji bro, unajua sisi tunaopata viuzushi kwenye mitandao tunaona kama anafanya kosa, lakini sheria inamruhusu kufanya anavofanya bro.
Ikijengwa barabara Tanga hata mimi huku nitafaidika nayo kwa kua yatakuja matunda kutoka Tanga nitapata kazi ya ukuli Kariakoo.Na yote anayoyafanya ni kwa faida yetu sote ntakushangaa sana kulalamika kanakwamba hayo maendeleo yanafanyika Kenya au Uganda.