Watz ni wasahaulifu sana mkuu, come 2020 watavalishwa kanga na kofia na akili yote kuzibwa kabisa.NAMBA acha isomeke maana watu kusikia nakujua mpaka hiv kujionea 2020 wafanye maamz tena!
Watanzania tuna akili fupi sana ndo maana hatusonge mbele kama taifa na mtu mmoja mmoja, maada ni nzuri inawweza kutusaidia kuibua njia mpya za kumsaidia rais kama ushauri, mtoa mada hana nia mbaya na rais bali anajaribu kutushirikisha tuangalie mwelekeo wa sisi kama taifa, kwa hiyo tuache kumkebehi tuchangie mada kwa mtazamo chanya kwa kutoa michango na ushauri wa kujenga taifa.
Akupeleke kwani wewe umekuwa zombie? Raisi Magufuli hayuko hapa kukupeleka wewe popote pale, bali wewe ndiyo unatakiwa ujipeleke mahali kwingine, wewe ndiyo unatakiwa ujitoe hapo ulipo na kwenda sehemu nyingine, wewe ndiyo unatakiwa ujifungue minyonyoro uliyofungwa na fisadi Lowasa, Mbowe & Co. na kuwa mtu huru Raisi Magufuli hawezi kulifanya hilo na wala siyo kazi yake!
Hasa Maaskofu, mtaitumbukiza nchi kwenye mpasuko mkubwa. Mtukufu anakejeli watu Kanisani ambao wanatafuta faraja, kanisani. Mtukufu anawafuata huko huko kuwakejeli. Maaskofu nao wanashangilia. Kanisa Katoliki mna sifa ya kufanya maangamizi. Jitafakari tena. Kilaini, Lwoma, Pengo and many others jitafakari.Wakuu Heshima mbele.
Samahani sana Mhe. Rais nakuomba ukiwa unakwenda kwenye ibada Kanisani, usiwe unatoa tamko lolote la kiutawala wala usilete siasa Makanisani ni hatari kwa Taifa changa kama hili.
Na pia naomba viongozi wa dini mkome hii tabia ya kumpatia Rais nafasi ya kuonge kwa waamini wenu. Hii ni kwa sababu.
1. Makanisa ama Misikiti itageuka kuwa ni nyumba za Siasa badala ya kuwa ni nyumba za kuambudia.
2. Lakini pia, Mbona hatumuoni Makamo wa Rais ama Waziri Mkuu na Mawaziri wakitoa Matamko Kanisani na Misikitini? Ama wao hawaswali?
3.Toka kwa Rais wa awamu ya Kwanza Mwl. JK Nyerere hakuwahi kutoa Tamko lolote ndani ya Kanisa.
Lakini pia Mzee Ruksa hakuwahi toa tamko ndani ya msikiti.
4.Kisha tukawa na Mzee Mkapa na Mhe. JK wote hawa walikuwa hawatoe matamko Misikitini na Makanisani ila kama kuna kongamano la kidini.
NINI ATHARI ZA SIASA SEHEMU ZA KUABUDIA.
1. Utaleta mpasuko mkubwa kwa Jamii, hasa kwa waumini wao kwa wao na waumini vs viongozi wa dini. Achana nazo.
2. Utafanya sasa kila Waziri, Mbunge, RC, DC, Diwani na Mwenyekiti wa Mtaa kuanza kasumba hii ya kuomba maiki mbele ya kanisa ama Msikiti.
3. Sipati picha tukifika huko na iwe ni kipindi cha Kampeni. Kwa maana kuna waumini watatu na wote ni wagombea, misikiti na makanisa sijui itakuwaje hapo.
Tafadhali sana acha kupeleka siasa kwenye sehemu takatifu za kuabubia. Una Majukwaa mengi sana hii liheshimu ka ulivyokuta watangulizi wako.
Natambua mcha Mungu sana ila kuwa unapewa nafasi ya kusema chochote iache, piga ibada kisa toka zako na Mungu atakubariki tu.
Wabeja.
Wasalaam
Ntobi.
hahaha hakuna raisi wanliivuruga hii nchi km jpm.... wala hatawahi kutokeaWakuu Heshima mbele.

ni kwavile watanzania wapole nji nyingine wanakupopoa maweTatizo hapa nikua na kiongozi mpenda sifa, hua anaongea bila kujali yupo Mahali gani na anaongea na watu wa aina gani. Nadhan hua hapang cha kuongea, linalomjia ndio hilohilo analotoa... Ukisikiliza maneno aliyowaambia watumishi wa mahakama, watumishi wa magereza, aliowaambia wanasiasa akijitoa yeye mwenyewe, na yale aliyowaambia wahanga wa tetemeko, utafahamu huyu nikiongoz wa aina gani!!kupewa nafasi kanisan ni ishara ya kutambua na kuheshimu uwepo wa mamlaka uliyonayo, inatosha kutoa salam nakusisitiza watu kumcha mungu!! Lakini kwakua haelewi nn alipashwa kuzungumza nn alijiona yupo jukwaa la kampen akaanza kuchafua hewa!! Yaan kila anapoenda fujo....Jaribun kumkumbusha kwamba akienda Roma afanye wanayofanya waroma.... ya usukuman ayaache hukohukoo...!!