umesoma kilichoandikwa na muanzisha uzi?Kushindia uji na maembe kwenu ,haimanishi kuwa Tanzania kuna baa la njaa.
Kuna tofauti kubwa kati ya mtu fulani kuwa na njaa na nchi ya Tanzania kukumbwa na njaa.
Njooni Rukwa, Mbeya, Njombe, morogoro chakula kinaozea shambani
Nyumbu mlielewe hili.
Ishara ya kwanza ni kufunga bunge tusilione.
pili kukataza siasa hapa ndipo penye point kubwa mkulu anahofu na mpinzani wake mpaka tunapata wasiwasi kwamba kama ameshinda na ana uhakika anapendwa unmhofia nini aliyeshindwa? Hapo ndipo tunapopata mashaka
tatu kamata kamata ya viongozi wa upinzani na kuvuruga biashara zao ni faida ya nani ili iweje ila mimi nasema kama mwisho umefika umefika tu.
mengine ongezeni karibuni
amekurupukaumesoma kilichoandikwa na muanzisha uzi?
Inaonekana uko karibu naye msaada ni huu aacha mambo yaende kwa mujibu wa sheria asimhofie sana mpinzani wake kwa kuwa wakiruhusiwa kufanya siasa ataokota mazuri na kujirekebisha anakokoseaKwa hiyo tukusaidaje, sasa labda?
Inaonekana uko karibu naye msaada ni huu aacha mambo yaende kwa mujibu wa sheria asimhofie sana mpinzani wake kwa kuwa wakiruhusiwa kufanya siasa ataokota mazuri na kujirekebisha anakokosea
Ishara ya kwanza ni kufunga bunge tusilione.
pili kukataza siasa hapa ndipo penye point kubwa mkulu anahofu na mpinzani wake mpaka tunapata wasiwasi kwamba kama ameshinda na ana uhakika anapendwa unmhofia nini aliyeshindwa? Hapo ndipo tunapopata mashaka
tatu kamata kamata ya viongozi wa upinzani na kuvuruga biashara zao ni faida ya nani ili iweje ila mimi nasema kama mwisho umefika umefika tu.
mengine ongezeni karibuni
Unajua "national and individual goals"?Akupeleke kwani wewe umekuwa zombie? Raisi Magufuli hayuko hapa kukupeleka wewe popote pale, bali wewe ndiyo unatakiwa ujipeleke mahali kwingine, wewe ndiyo unatakiwa ujitoe hapo ulipo na kwenda sehemu nyingine, wewe ndiyo unatakiwa ujifungue minyonyoro uliyofungwa na fisadi Lowasa, Mbowe & Co. na kuwa mtu huru Raisi Magufuli hawezi kulifanya hilo na wala siyo kazi yake!
Wasalaam wandugu wote hapa jamvini,
Naandika ujumbe huu huku machozi yakiwa shavuni, kifupi nataka mnisaidie kumhoji mkuu masuala makuu matatu ya kiutumishi kama ifuatavyo
1.ni lini atarejesha increment za waajiriwa kama ilivyo takwa la kisheria waliloingia waajiriwa dhidi ya waajiri?
2.Madaraja utaanza kupandisha lini ?
3.ajira ulizotudanganya ziko wapi?