Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Nafikiri anajua ila kwa mbinu anazotumia itatuchukua miaka mingi sana kufika kama safari ya Mussa kwenda Kanani.

Kwa mfano suala la elimu haliwezi kufanikiwa ikiwa utaahidi elimu ya bure bila kuwa na Quality,Equity na huku ukiwa na Poor Governance!
 
Kiukweli,tukubali au tukatae,Nchi haina mwelekeo,hakuna anayejua kesho kuna nini wala hakuna mwenye dira ya kwamba tunaelekea wapi ni mizuka tu ya papo kwa hapo alafu inazima nziiiiiii!!
 
Naona hiyo sukari ndio ajenda pekee iliyobaki ya chadema.
na vyuo vikuu nk nk. Mtu akileta mada ya maana muijadili kwa uzito una stahili!
 
 
Kwa kweli kama ni mzigo anapiga. Ila sijaelewa njia kuu hasa. Kwa waliolewa please tuelewesheni.
 
tunaelekea katika mabadiliko ya kweli sasa ww endelea kuzungusha mikono
Maadam dunia inazunguka jua na pia inazunguka kwenye mhimili wake, na wewe pia unazunguka na mikono yako inazunguka, hilo halikwepeki.
 

umepotea wewe na nani mkuu?
 
Hakika unastahili kua hata mkuu wa wilaya naomba MAGUFULI AKUONE.Watanzania bado tuna safari ndefu sana
 
kikwete aliwahi kuulizwa hivi.....''unataka wananchi wakukumbuke kwa lipi katika utawalawako huu wa miaka 10??''...akajibu..''nataka wanikumbuke kuwa niliwatoa hapa na kuwapeleka pale''...kwa huyu wa sasa anatupeleka hapa....sio pale..
 
kikwete aliwahi kuulizwa hivi.....''unataka wananchi wakukumbuke kwa lipi katika utawalawako huu wa miaka 10??''...akajibu..''nataka wanikumbuke kuwa niliwatoa hapa na kuwapeleka pale''...kwa huyu wa sasa anatupeleka hapa....sio pale..
mkuu huwezi kumjadili JPM kwa sasa wakati hata bajeti yake haijapitishwa na kuona utekelezaji wake.........tusubiri tuone aliyoyapanga kwenye bajeti yake......
 
Hiii ndio home of great thinkers kweli? mtu ameuliza swali kwa points nzuri tu watu wanamwita mzungusha mikono, wengine nyumbu Moderator wa JamiiForums okoeni reputatio yenu kwa kuondoa watu kama hawa
Tatizo vijana wengi waliomo humu hususani wale wa mavazi ya kijani uelewa wao ni mdogo sana na kubaki kushabikia hata nchi inapokwenda mrama.wamewruhusu watun wengine wafikirie kwa niaba yao. Leo hii huwezi kuzungumzia viwanda pasipo kuweka mikakati na fedha za kutosha kwa kilimo ili kupata matirial za kutosha. mathalani wanasema watafufua general tares kule arusha Jambo lakujiuliza maligafi wanazo? au mnawekeza kwenye mashine wakati mashamba ya mpira kule Kigoma yamegeuka pori la akiba.My President let be serious na kilimo kwanza tukishafanikiwa hapo viwanda vitafwatia.
 
mkuu huwezi kumjadili JPM kwa sasa wakati hata bajeti yake haijapitishwa na kuona utekelezaji wake.........tusubiri tuone aliyoyapanga kwenye bajeti yake......
Ruhusu akili yako itumike zaidi tumeshaona budget za viwanda kilimo nk zimepitishwa lkn hatujaona hizo budget zikibeba ajenda ya kuvifufua viwanda vyetu zaidi ya maneno ya kila siku kama tuko kwenye mchakato, nitatembelea na kujionea,hilo swala limefika mezani,kuna wawekezaji wako hapa ndani nyie wateneeni tu ardhi. HIZO NDIO SERA unaona zinatoa dira ya tunapoelekea.
 
Yawezekana wakawa na ushauri mzuri kwa mkuu wa kaya lkn je yuko yatari kuupokea? Au nao wamegeuka wapiga makofi na kua sehemu ya ndio mzee kama wafanyavyo mawazri wake ambao wameshindwa kabisa kumshauri raisi wetu na kua waoga hivyo kuendelea kulikosesha taifa dira.
 
Inasikitisha ana kuona bado taifa letu lina vijana wanaowaza kama wewe.Jaribu kutumia sehemu ndogo sana ya ubongo wako unaweza kuja na mawazo mbadala.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…