MT KILIMANJARO
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 4,215
- 760
Kinachozungum,ziwa hapa ni mwelekeo wa taifa sio vyama soma tena kwa umakuni utamwelewa mtoa mada ana manisha niniWe mbona hujadili mwelekeo wa chadema? Mna Sera ipi kwa sasa, je ya sukari, au kupambana na ufisadi au ipi hasa??
Kwa hiyo alituacha pale?kikwete aliwahi kuulizwa hivi.....''unataka wananchi wakukumbuke kwa lipi katika utawalawako huu wa miaka 10??''...akajibu..''nataka wanikumbuke kuwa niliwatoa hapa na kuwapeleka pale''...kwa huyu wa sasa anatupeleka hapa....sio pale..
Very poor comment,duuuhhhAkupeleke kwani wewe umekuwa zombie? Raisi Magufuli hayuko hapa kukupeleka wewe popote pale, bali wewe ndiyo unatakiwa ujipeleke mahali kwingine, wewe ndiyo unatakiwa ujitoe hapo ulipo na kwenda sehemu nyingine, wewe ndiyo unatakiwa ujifungue minyonyoro uliyofungwa na fisadi Lowasa, Mbowe & Co. na kuwa mtu huru Raisi Magufuli hawezi kulifanya hilo na wala siyo kazi yake!
Hivi mkuu makusanyo ya mwezi April yalikuwa trilioni ngapi? Na za mwezi May je?
Zamani tulikuwa tunatangaziwa mapato na matumizi ya serikali lakini kwa sasa ni kimya kabisa. Pia ukiongea na watumishi serikalini watakwambia hakuna hela ya DEVELOPMENT imetumwa mwezi wa nne na wa tano, pia hata hela ya kuendesha ofisi maarufu kama OC haijatumwa kwa miezi miwili. Hii ni dalili kuwa nchi haina muelekeo mzuri kiuchumi ingawa sisi wengine tunampa muda huyu nahodha wetu hadi atakapoanza kutekeleza bajeti yake mwezi July
Kwani lowasa ni kijana ambaye hajala hela chafu, sasa hivi Magufuli anataka kuanza na Damu safi, ambayo haijakula Nyama ya Mtu!!
Tumeshashinda uchaguzi. Kwa sasa tupo kwenye fungate. Muda wa kazi unaanza Julai baada ya bajeti mpya kupitishwaCcm imesha feli kwenye mambo mengi tu
Kaufanyia TanzaniaMkuu Magufuli anasema Vijana sio wapiga deal....sijui kaufanyia wapi utafiti huu.
Hahahahahaaaaaa! Fisadi ajumuishwe kwenye serikali ya Magufuli? Hiyo si sawa na shetani kumshirikisha kwenye mamlaka ya Malaika? Au ni sawa na fisi kumshirikisha kazi ya ulinzi ya zizi la Mbuzi? Hahahahahaaaaa. Magufuli si dhaifu kiasi hicho. Hawezi kufanya makosa kama hayo
Akupeleke kwani wewe umekuwa zombie? Raisi Magufuli hayuko hapa kukupeleka wewe popote pale, bali wewe ndiyo unatakiwa ujipeleke mahali kwingine, wewe ndiyo unatakiwa ujitoe hapo ulipo na kwenda sehemu nyingine, wewe ndiyo unatakiwa ujifungue minyonyoro uliyofungwa na fisadi Lowasa, Mbowe & Co. na kuwa mtu huru Raisi Magufuli hawezi kulifanya hilo na wala siyo kazi yake!
I don't argue with a fool, because the people might not notice the difference.[/QUOT
Ha ha ha, basi watu smart wameisha dunia hii. Look exactly like a moron.
Acha kutoa povu kijana, buku 7 utakula siku ngapi?
Hapa tunajadili mustakabali wa Taifa na huu ni ukweli kwamba bado Taifa letu halina Dira, Mwanga,Muelekeo,Malengo,Namna ya Utatuzi n.k. wa Umasikini,Maradhi,Ujinga,Ufisadi, n.k.nk.
Kwa mfano leo Taifa letu liko mkiani nafasi ya NNE katika nchi ya tunaoishi Chini ya Mstari wa Umasikini ( Under Poverty Line).
Hebu acheni kufikiri kwa kutumia MATUMBO, maana sasa hii ni laana huenda toka kwa Mungu.
Hama nchi au ukishindwa saga chupa unywe!
Kwa hiyo wewe umeona miongozo kama ilani, mipango ya muda mrefu na mfupi, katiba, sheria, miongozo na nyaraka mbali mbali hakuna sio...?????Nchi haiendeshwi kwa matakea ya rais ndiyo maana kuna miongozo kama ilani, mipango ya muda mrefu na mfupi, katiba, sheria, miongozo na nyaraka mbali mbali. Wananchi ni haki yetu kuhoji, kukosoa, kushauri na kulalamika kama mambo hayaendi vizuri. Tatizo linakuja pale anayehoji au kukosoa anapoonekana adui. Tabia hii siyo nzuri na haiwezi kutupeleka popote kama taifa
Hujajibub swali.Kwan hujanielewa sms yangu?