Kumbe wewe huelewi, ni Vi-Wonder!1.Amezindua treni ya umeme japo umeme wa uhakika tanzania ni shida
2.Amenunua ndege mbili cash na kuahidi kuongeza nyingine mbili japo asilimia tisini ya watanzania hawatumii usafiri huo na hawawazii kuwa siku moja watapanda ndege
3Anahubiri Tanzania ya viwanda japohaboreshi elimu wala kuwa na mpango wa kuhakikisha kila shule ina idadi ya walimu wa sayansi wanaohitajika
Mi nadhani sio chuki, anayofnya Si kusema ni mambo mabaya lakini kunamambo angeyapa kipaumbele ambayo yangemgusa mwananchi wa chini kabisa pia.... Kiuhalisia mahospitalin hali mbaya vijini elimu bado ni tabu..... Sasa kwann trillion hizo mbili za treni angeanza na haya mambo yamsingi zaidi1. Uliwahi kuona treni imekwama??
2.Watanzania peke yao ndio watakaotumia ndege hizo???
3.Kama hakuna viwanda hao wanafunzi wakimaliza kusoma wataenda wapi??
Mkuu una chuki binafsi asingefanya hayo pia ungesema acha tu Our President aendelee na makamuzi
1.Amezindua treni ya umeme japo umeme wa uhakika tanzania ni shida
2.Amenunua ndege mbili cash na kuahidi kuongeza nyingine mbili japo asilimia tisini ya watanzania hawatumii usafiri huo na hawawazii kuwa siku moja watapanda ndege
3Anahubiri Tanzania ya viwanda japo haboreshi elimu wala kuwa na mpango wa kuhakikisha kila shule ina idadi ya walimu wa sayansi wanaohitajika sambamba na kuhakikisha maabara za shule zinakamilika na kufanya kazi
4.Anahubiri elimu bule japo serikali yake imeandaa waraka wa elimu unaoruhusu bodi na kamati za shule kuchangisha michango ya ulinzi,taaluma(kwa ajili ya part time teachers for science subjects) na chakula
5.Anajenga hostel UDSM japo wahadhiri wabobezi wa wanachuo anawaondoa na kuwapangia kazi nyingine
Wewe MTU weweee,,.....,....1.Amezindua treni ya umeme japo umeme wa uhakika tanzania ni shida
2.Amenunua ndege mbili cash na kuahidi kuongeza nyingine mbili japo asilimia tisini ya watanzania hawatumii usafiri huo na hawawazii kuwa siku moja watapanda ndege
3Anahubiri Tanzania ya viwanda japo haboreshi elimu wala kuwa na mpango wa kuhakikisha kila shule ina idadi ya walimu wa sayansi wanaohitajika sambamba na kuhakikisha maabara za shule zinakamilika na kufanya kazi
4.Anahubiri elimu bule japo serikali yake imeandaa waraka wa elimu unaoruhusu bodi na kamati za shule kuchangisha michango ya ulinzi,taaluma(kwa ajili ya part time teachers for science subjects) na chakula
5.Anajenga hostel UDSM japo wahadhiri wabobezi wa wanachuo anawaondoa na kuwapangia kazi nyingine
Hana hata hela ya kuajiri madaktari ambao watawaweka wapiga kura wake salama hadi 2020,ni aibu kwa taifa.1.Amezindua treni ya umeme japo umeme wa uhakika tanzania ni shida