Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Option ni moja tu. Ongeza juhudi ya kufikiri na kufanya kazi. Kila msimu una mwanzo na mwisho. Msimu wa kuvuna umekwisha. Sasa ni msimu wa kulima kwa jasho.
 
1.Amezindua treni ya umeme japo umeme wa uhakika tanzania ni shida
2.Amenunua ndege mbili cash na kuahidi kuongeza nyingine mbili japo asilimia tisini ya watanzania hawatumii usafiri huo na hawawazii kuwa siku moja watapanda ndege
3Anahubiri Tanzania ya viwanda japo haboreshi elimu wala kuwa na mpango wa kuhakikisha kila shule ina idadi ya walimu wa sayansi wanaohitajika sambamba na kuhakikisha maabara za shule zinakamilika na kufanya kazi
4.Anahubiri elimu bule japo serikali yake imeandaa waraka wa elimu unaoruhusu bodi na kamati za shule kuchangisha michango ya ulinzi,taaluma(kwa ajili ya part time teachers for science subjects) na chakula
5.Anajenga hostel UDSM japo wahadhiri wabobezi wa wanachuo anawaondoa na kuwapangia kazi nyingine
 
3Anahubiri Tanzania ya viwanda japohaboreshi elimu wala kuwa na mpango wa kuhakikisha kila shule ina idadi ya walimu wa sayansi wanaohitajika
Kumbe wewe huelewi, ni Vi-Wonder!
 
1. Uliwahi kuona treni imekwama??
2.Watanzania peke yao ndio watakaotumia ndege hizo???
3.Kama hakuna viwanda hao wanafunzi wakimaliza kusoma wataenda wapi??

Mkuu una chuki binafsi asingefanya hayo pia ungesema acha tu Our President aendelee na makamuzi
 
Hivyo vingine afadhari, ila kwenye nashite ndio bado nimebaki nashangaa mpaka sasa.
 
Ni rais ambaye think tank wake alipata zero kuanzia standard four hadi form four
 
1. Uliwahi kuona treni imekwama??
2.Watanzania peke yao ndio watakaotumia ndege hizo???
3.Kama hakuna viwanda hao wanafunzi wakimaliza kusoma wataenda wapi??

Mkuu una chuki binafsi asingefanya hayo pia ungesema acha tu Our President aendelee na makamuzi
Mi nadhani sio chuki, anayofnya Si kusema ni mambo mabaya lakini kunamambo angeyapa kipaumbele ambayo yangemgusa mwananchi wa chini kabisa pia.... Kiuhalisia mahospitalin hali mbaya vijini elimu bado ni tabu..... Sasa kwann trillion hizo mbili za treni angeanza na haya mambo yamsingi zaidi
 
1.Amezindua treni ya umeme japo umeme wa uhakika tanzania ni shida
2.Amenunua ndege mbili cash na kuahidi kuongeza nyingine mbili japo asilimia tisini ya watanzania hawatumii usafiri huo na hawawazii kuwa siku moja watapanda ndege
3Anahubiri Tanzania ya viwanda japo haboreshi elimu wala kuwa na mpango wa kuhakikisha kila shule ina idadi ya walimu wa sayansi wanaohitajika sambamba na kuhakikisha maabara za shule zinakamilika na kufanya kazi
4.Anahubiri elimu bule japo serikali yake imeandaa waraka wa elimu unaoruhusu bodi na kamati za shule kuchangisha michango ya ulinzi,taaluma(kwa ajili ya part time teachers for science subjects) na chakula
5.Anajenga hostel UDSM japo wahadhiri wabobezi wa wanachuo anawaondoa na kuwapangia kazi nyingine

Kama mtu huoni huoni tu!! mh. Rais Usikatishwe tamaa na watu kama hawa bali waone kama waliomtesa na kumsulubisha yesu
 
1.Amezindua treni ya umeme japo umeme wa uhakika tanzania ni shida
2.Amenunua ndege mbili cash na kuahidi kuongeza nyingine mbili japo asilimia tisini ya watanzania hawatumii usafiri huo na hawawazii kuwa siku moja watapanda ndege
3Anahubiri Tanzania ya viwanda japo haboreshi elimu wala kuwa na mpango wa kuhakikisha kila shule ina idadi ya walimu wa sayansi wanaohitajika sambamba na kuhakikisha maabara za shule zinakamilika na kufanya kazi
4.Anahubiri elimu bule japo serikali yake imeandaa waraka wa elimu unaoruhusu bodi na kamati za shule kuchangisha michango ya ulinzi,taaluma(kwa ajili ya part time teachers for science subjects) na chakula
5.Anajenga hostel UDSM japo wahadhiri wabobezi wa wanachuo anawaondoa na kuwapangia kazi nyingine
Wewe MTU weweee,,.....,....
 
Hana hata hela ya kuajiri madaktari ambao watawaweka wapiga kura wake salama hadi 2020,ni aibu kwa taifa.
Hapa watanzania tutunze vichinjio tu hadi 2020 tuone km tutachinja aliyenona!
 
8ca9788beefce430d2a227d83c61eacd.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom