Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Umechelewa sana kumchukia mbona alishaweka wazi hana haja ya kupendwa mke wake anampenda inatosha, alishaweka wazi hataki kua popular president so kunya boga you nothing to him
Sawa mtoa mada can be nothing to him ila haya maumivu ya watanzania iko siku atayalipia..... Kama Mungu anaishi basi atasikia kilio chetu dhidi ya huyu dikteta ila kama akibaki hadi 2025 basi siku akifa jehanamu ichochewe moto mara 50 ili ajute yote aliyoyafanya hapa duniani

Sijawahi kuwa na hasira kwa serikali zaidi ya awamu hii...... Sijui kwanni Tsvangirai asingebadilishana nafasi na huyu!!
 
Mbowe ndiye aliyeharibu upinzani wa kweli kwa kubadili gia angani, kisha vibaraka wake kina lissu wakafuata. Ni lazima upinzani huu watanzania tuukomeshe na utokomee kama tufamyavyo sasa. 42-1, utokomee kwa njia yoyote ile kwa faida ya taifa hili.
 
Msitafute chaka la kutupia laana mlizoachiwa huko mlikopita, mtazibeba wenyewe!!
 
unahubiri democrasia huku ukitaka kura yako moja ndo mtoe rais madarakani. kummbuka hakupigiwa kura na wote na wewe ni mmoja wao mliodanganya mtangia ikulu saa 4 asubuhi hatimae mmmebaki na maasira yenu na chuki binafs.
pole sana kali la kinyumbu
 
Una uhakika kila mtu anayemkosoa ni muuza madawa na fisadi?? Ina maana mafisadi walifika million 30!!

List ya madawa ya kulevya mliyotoa kwa takwimu zilizopo hakuna hata mmoja aliyehukumiwa kifungo 80% kesi zao zilifutwa sasa wauza madawa gani unaowaongelea kwamba wameshughulikiwa??? Mbowe gwajima au idd azzan!!

Shame
 
Hauko peke yako dada
 
Binafsi mtu akishakua CCM automatically tu nikimwona napata kichefu chefu.
Siwapendi CCM kutoka moyoni.
 
Pendekeza nini kifanyike? Mbowe angelifanya/ afanye nini sasa, leo au kesho with immeadiate effect!
Nafikiri upinzani unahitaji kiongozi ambaye ni "militant" zaidi. Nafikiri Mbowe amekaa kwenye nafasi hiyo kwa muda mrefu na kufanya kazi nzuri sana lakini kwa mazingira ya sasa ya kisiasa, yeye na katibu mkuu Mashinji, wanahitaji kustep down (NOT out) au wapate msaanda mkubwa wa kimkakati.

Chadema, inahitaji intervention ya umma wa watanzania na ili kuhamasisha umma huo inahitaji kiwango kikubwa cha "Lobbying" na relevant international cooperation or affiliation, itakayosaidia kuongeza pressure kwa regime hii mpaka play ground iwe level vizuri.

Agenda ya Chadema/ukawa inapasa kuwa katiba mpya na au mabadiliko mwakubwa katika sheria ya uchaguzi na kuhakikisha NEC inakuwa huru kweli kweli. Chadema/ ukawa inahitaji, sasa kuliko wakati mwingine wowote, msaada wa jumuia ya kimataifa.
 
Nimefanya kautafiti kadogo nimebaini kuwa watu walio wengi wanatamani ile ndoto ya Lema ingetimia.
 
Mimi na waza sector ya tourism mpaka nimechoka tax 4000 kwa kila mwaka naalisema atapunguza sasa kaua bendii.
 
Mimi na waza sector ya tourism mpaka nimechoka tax 4000 kwa kila mwaka naalisema atapunguza sasa kaua bendii.
 
Hehehe Peleka unafiki huko dua la kuku hilo utakaa sana.

Hivi Magufuli kufikia hapa? Mbona watu mnasahau sana
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…