zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Sawa mtoa mada can be nothing to him ila haya maumivu ya watanzania iko siku atayalipia..... Kama Mungu anaishi basi atasikia kilio chetu dhidi ya huyu dikteta ila kama akibaki hadi 2025 basi siku akifa jehanamu ichochewe moto mara 50 ili ajute yote aliyoyafanya hapa dunianiUmechelewa sana kumchukia mbona alishaweka wazi hana haja ya kupendwa mke wake anampenda inatosha, alishaweka wazi hataki kua popular president so kunya boga you nothing to him
Sijawahi kuwa na hasira kwa serikali zaidi ya awamu hii...... Sijui kwanni Tsvangirai asingebadilishana nafasi na huyu!!