....tatizo lako hujui kisukuma au kutolewa jukwaani !?Tunatoka kwenye kuhutubiana vyema kila mwezi kuhusu nchi mpaka kusikiliza hotuba za kisukuma majukwaani !!
Ngoja Wapambe Wake Waje!Kati ya Rais ambaye nilimuunga mkono kwa moyo wangu wote, hata kufikia hatua ya kujivunia mbele za watu alikuwa Magufuli. Mwanzo alipoanza kazi, huku akitoa maneno ya uchungu kwenye majukwaa, nikajua huyu ndiye rais sasa. Kumbe maneno matupu kuliko vitendo.
Lakini mpaka leo miaka 3 sijaona chochote cha maana alichofanya, zaidi ya kupambana na wapinzani wake ndani ya chama na nje ya chama, kufanya biashara ya binadamu kama kununua wabunge kwa dhana ya kumuunga mkono.
Hali ya maisha imekuwa ngumu sana, hakuna mwenye matumaini kwenye utawala huu, chuki, visasi, kutekana, kuuwawa n.k ndivyo livyotawala. Mitaani hali imekuwa mbaya , watu wamekata tamaa. Binafsi huyu Jiwe namchukia sana , kashindwa tena vibaya .
2020 hatufai tena, bora Membe kuliko ili jiwe, halina maono. Rais wa hovyo kabisa Kuwahi Kutokea. Hata ndani ya CCM wamemchoka, basi Wanajikaza tu kwa sababu ya njaa, wanaendelea kumpamba kwa unafiki.
Mkuu umesimamia upande gani?Kwa hiyo ulitaka usaidiwaje sasa? 2020 piga kura vinginevyo kama umemchoka!
"Lakini mpaka leo miaka 3 sijaona chochote cha maana alichofanya, zaidi ya kupambana na wapinzani wake ndani ya chama na nje ya chama, kufanya biashara ya binadamu kama kununua wabunge kwa dhana ya kumuunga mkono"....... kweli hujaona chochote hi miaka mitatu? Wewe muongo, Dreamliner, SGR, flyover ya Tazara, stingler elimu bure Chato airport, nkKati ya Rais ambaye nilimuunga mkono kwa moyo wangu wote, hata kufikia hatua ya kujivunia mbele za watu alikuwa Magufuli. Mwanzo alipoanza kazi, huku akitoa maneno ya uchungu kwenye majukwaa, nikajua huyu ndiye rais sasa. Kumbe maneno matupu kuliko vitendo.
Lakini mpaka leo miaka 3 sijaona chochote cha maana alichofanya, zaidi ya kupambana na wapinzani wake ndani ya chama na nje ya chama, kufanya biashara ya binadamu kama kununua wabunge kwa dhana ya kumuunga mkono.
Hali ya maisha imekuwa ngumu sana, hakuna mwenye matumaini kwenye utawala huu, chuki, visasi, kutekana, kuuwawa n.k ndivyo livyotawala. Mitaani hali imekuwa mbaya , watu wamekata tamaa. Binafsi huyu Jiwe namchukia sana , kashindwa tena vibaya .
2020 hatufai tena, bora Membe kuliko ili jiwe, halina maono. Rais wa hovyo kabisa Kuwahi Kutokea. Hata ndani ya CCM wamemchoka, basi Wanajikaza tu kwa sababu ya njaa, wanaendelea kumpamba kwa unafiki.
Mkuu umesimamia upande gani?
Panapo uhai JPM tunamwongezea muda mbaka 2025, mtasubiri sana. Kwahakika tumempata rais sahihi kaika wakti sahihi Bravo JPM.Kati ya Rais ambaye nilimuunga mkono kwa moyo wangu wote, hata kufikia hatua ya kujivunia mbele za watu alikuwa Magufuli. Mwanzo alipoanza kazi, huku akitoa maneno ya uchungu kwenye majukwaa, nikajua huyu ndiye rais sasa. Kumbe maneno matupu kuliko vitendo.
Lakini mpaka leo miaka 3 sijaona chochote cha maana alichofanya, zaidi ya kupambana na wapinzani wake ndani ya chama na nje ya chama, kufanya biashara ya binadamu kama kununua wabunge kwa dhana ya kumuunga mkono.
Hali ya maisha imekuwa ngumu sana, hakuna mwenye matumaini kwenye utawala huu, chuki, visasi, kutekana, kuuwawa n.k ndivyo livyotawala. Mitaani hali imekuwa mbaya , watu wamekata tamaa. Binafsi huyu Jiwe namchukia sana , kashindwa tena vibaya .
2020 hatufai tena, bora Membe kuliko ili jiwe, halina maono. Rais wa hovyo kabisa Kuwahi Kutokea. Hata ndani ya CCM wamemchoka, basi Wanajikaza tu kwa sababu ya njaa, wanaendelea kumpamba kwa unafiki.
Mmeumbuka. Njama zenu zimegundulika.Kati ya Rais ambaye nilimuunga mkono kwa moyo wangu wote, hata kufikia hatua ya kujivunia mbele za watu alikuwa Magufuli. Mwanzo alipoanza kazi, huku akitoa maneno ya uchungu kwenye majukwaa, nikajua huyu ndiye rais sasa. Kumbe maneno matupu kuliko vitendo.
Lakini mpaka leo miaka 3 sijaona chochote cha maana alichofanya, zaidi ya kupambana na wapinzani wake ndani ya chama na nje ya chama, kufanya biashara ya binadamu kama kununua wabunge kwa dhana ya kumuunga mkono.
Hali ya maisha imekuwa ngumu sana, hakuna mwenye matumaini kwenye utawala huu, chuki, visasi, kutekana, kuuwawa n.k ndivyo livyotawala. Mitaani hali imekuwa mbaya , watu wamekata tamaa. Binafsi huyu Jiwe namchukia sana , kashindwa tena vibaya .
2020 hatufai tena, bora Membe kuliko ili jiwe, halina maono. Rais wa hovyo kabisa Kuwahi Kutokea. Hata ndani ya CCM wamemchoka, basi Wanajikaza tu kwa sababu ya njaa, wanaendelea kumpamba kwa unafiki.
Wewe jiwe umempendea Nini? Kwanza tuanzie hapo mkuu...Huyu membe mmempendea nini?