Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Tunatoka kwenye kuhutubiana vyema kila mwezi kuhusu nchi mpaka kusikiliza hotuba za kisukuma majukwaani !!
 
Kati ya Rais ambaye nilimuunga mkono kwa moyo wangu wote, hata kufikia hatua ya kujivunia mbele za watu alikuwa Magufuli. Mwanzo alipoanza kazi, huku akitoa maneno ya uchungu kwenye majukwaa, nikajua huyu ndiye rais sasa. Kumbe maneno matupu kuliko vitendo.

Lakini mpaka leo miaka 3 sijaona chochote cha maana alichofanya, zaidi ya kupambana na wapinzani wake ndani ya chama na nje ya chama, kufanya biashara ya binadamu kama kununua wabunge kwa dhana ya kumuunga mkono.

Hali ya maisha imekuwa ngumu sana, hakuna mwenye matumaini kwenye utawala huu, chuki, visasi, kutekana, kuuwawa n.k ndivyo livyotawala. Mitaani hali imekuwa mbaya , watu wamekata tamaa. Binafsi huyu Jiwe namchukia sana , kashindwa tena vibaya .

2020 hatufai tena, bora Membe kuliko ili jiwe, hana maono.
 
Kwa hiyo ulitaka usaidiwaje sasa? 2020 piga kura vinginevyo kama umemchoka au Magufuli ni Babako kwamba huwezi kumuacha?
 
Kati ya Rais ambaye nilimuunga mkono kwa moyo wangu wote, hata kufikia hatua ya kujivunia mbele za watu alikuwa Magufuli. Mwanzo alipoanza kazi, huku akitoa maneno ya uchungu kwenye majukwaa, nikajua huyu ndiye rais sasa. Kumbe maneno matupu kuliko vitendo.

Lakini mpaka leo miaka 3 sijaona chochote cha maana alichofanya, zaidi ya kupambana na wapinzani wake ndani ya chama na nje ya chama, kufanya biashara ya binadamu kama kununua wabunge kwa dhana ya kumuunga mkono.

Hali ya maisha imekuwa ngumu sana, hakuna mwenye matumaini kwenye utawala huu, chuki, visasi, kutekana, kuuwawa n.k ndivyo livyotawala. Mitaani hali imekuwa mbaya , watu wamekata tamaa. Binafsi huyu Jiwe namchukia sana , kashindwa tena vibaya .

2020 hatufai tena, bora Membe kuliko ili jiwe, halina maono. Rais wa hovyo kabisa Kuwahi Kutokea. Hata ndani ya CCM wamemchoka, basi Wanajikaza tu kwa sababu ya njaa, wanaendelea kumpamba kwa unafiki.
Ngoja Wapambe Wake Waje!
 
"Lakini mpaka leo miaka 3 sijaona chochote cha maana alichofanya, zaidi ya kupambana na wapinzani wake ndani ya chama na nje ya chama, kufanya biashara ya binadamu kama kununua wabunge kwa dhana ya kumuunga mkono"....... kweli hujaona chochote hi miaka mitatu? Wewe muongo, Dreamliner, SGR, flyover ya Tazara, stingler elimu bure Chato airport, nk
 
Nitaruka mto nikiufikia.
Kwa sasa namuunga mkono Mh. Rais alozie muda wake 2020 ndio nitasema jambo mana ni mwaka wa uchaguzi.
Kwa sasa ni wakati wa kumsaidia ili kama kuna panapoharibika pasiharibike zaidi au kama kuna pazuri pawe pazuri zaidi.
 
Kati ya Rais ambaye nilimuunga mkono kwa moyo wangu wote, hata kufikia hatua ya kujivunia mbele za watu alikuwa Magufuli. Mwanzo alipoanza kazi, huku akitoa maneno ya uchungu kwenye majukwaa, nikajua huyu ndiye rais sasa. Kumbe maneno matupu kuliko vitendo.

Lakini mpaka leo miaka 3 sijaona chochote cha maana alichofanya, zaidi ya kupambana na wapinzani wake ndani ya chama na nje ya chama, kufanya biashara ya binadamu kama kununua wabunge kwa dhana ya kumuunga mkono.

Hali ya maisha imekuwa ngumu sana, hakuna mwenye matumaini kwenye utawala huu, chuki, visasi, kutekana, kuuwawa n.k ndivyo livyotawala. Mitaani hali imekuwa mbaya , watu wamekata tamaa. Binafsi huyu Jiwe namchukia sana , kashindwa tena vibaya .

2020 hatufai tena, bora Membe kuliko ili jiwe, halina maono. Rais wa hovyo kabisa Kuwahi Kutokea. Hata ndani ya CCM wamemchoka, basi Wanajikaza tu kwa sababu ya njaa, wanaendelea kumpamba kwa unafiki.
Panapo uhai JPM tunamwongezea muda mbaka 2025, mtasubiri sana. Kwahakika tumempata rais sahihi kaika wakti sahihi Bravo JPM.
 
Membe membe kuna nini huko huu mfukuto wa moshi sio bule
Ila naona mnambipu rais wetu mtakipata mnacho kipata
 
Kati ya Rais ambaye nilimuunga mkono kwa moyo wangu wote, hata kufikia hatua ya kujivunia mbele za watu alikuwa Magufuli. Mwanzo alipoanza kazi, huku akitoa maneno ya uchungu kwenye majukwaa, nikajua huyu ndiye rais sasa. Kumbe maneno matupu kuliko vitendo.

Lakini mpaka leo miaka 3 sijaona chochote cha maana alichofanya, zaidi ya kupambana na wapinzani wake ndani ya chama na nje ya chama, kufanya biashara ya binadamu kama kununua wabunge kwa dhana ya kumuunga mkono.

Hali ya maisha imekuwa ngumu sana, hakuna mwenye matumaini kwenye utawala huu, chuki, visasi, kutekana, kuuwawa n.k ndivyo livyotawala. Mitaani hali imekuwa mbaya , watu wamekata tamaa. Binafsi huyu Jiwe namchukia sana , kashindwa tena vibaya .

2020 hatufai tena, bora Membe kuliko ili jiwe, halina maono. Rais wa hovyo kabisa Kuwahi Kutokea. Hata ndani ya CCM wamemchoka, basi Wanajikaza tu kwa sababu ya njaa, wanaendelea kumpamba kwa unafiki.
Mmeumbuka. Njama zenu zimegundulika.
Mnamtegeneza Membe awe Rais wenu sio?
Ningemwomba Mh. Msiba kama ana audios au clips za hao wahujumu atoe mitandaoni ili wananchi wawasikie au kuwaona wanavyo arrange milango yao.

Mr Msiba well done! Watanzania wako nyuma yako.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom