tena chini ya nape katk sekta ya habari hiyo hali tutaifikia tena kwa mwendokasi
Kama ulitaka nchi iliyojaa uchochezi na vurugu imekula kwako.
Mbona unaishambulia ID yangu. Kwa nini lakini?We kweli ni Mgonjwa, yaani watu Lumumba mna ID zinazowakilisha tabia zenu.
Mbona kampeni hakuombea kura hayoHayo aliyoanza kuyafanya ndio ilikuwa vipaumbele vyake.