Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Mungu Ibariki Tanzania
Dumisha Uhuru Na Umoja
Wake Kwa Waume Na Watoto
Mungu Ibariki
Tanzania Na Watu Wake
Ibariki Tanzania×2
Tubariki Watoto Wa Tanzania
 
His exllency head of state, mwacheni kwanza ana mambo mengi ya kufanya, wanafunzi wamamsumbua mikopo, ajira bado anakuna kichwa, watumishi hewa bado wanamuumiza kichwa, UKUTA ndo huo umeshajengwa bado kuzinduliwa ,Kwa hiyo embu muachen kidogo tafadhal
 
Gari limekata breki hili.Dereva anakula viroba mirungi ugoro sijui anatupeleka wapi huyu dereva
 
Angalau tangu apate muujiza wa kushikan mkono na Lowassa naona kapunguza kutoa matamko,maana ilikua kwa siku anatoa matamko zaidi ya matatu...
 
Angalau tangu apate muujiza wa kushikan mkono na Lowassa naona kapunguza kutoa matamko,maana ilikua kwa siku anatoa matamko zaidi ya matatu...
 
WEWE UNAIPELEKA WAPI FAMILIA YAKO? MH. RAISI AMEINGILIA NINI KATIKA SHUGULI ZAKO ZA KILA SIKU? ACHA UVIVU NA KULALAMIKA KAMA MWANAMKE FANYA KAZI USTAWISHE FAMILIA YAKO ACHA KUTAFUTA SABABU WEWEEEE!
 
Angalau tangu apate muujiza wa kushikan mkono na Lowassa naona kapunguza kutoa matamko,maana ilikua kwa siku anatoa matamko zaidi ya matatu...
HUO NI UNAFIKI TANGU AMALIZE ZIARA YAKE HAKUNA TAMKO LOLOTE ALILOLITOA HUU NI NDIO UNAFIKI/UZABZABINA "...maana ilikua kwa siku anatoa matamko zaidi ya matatu..."
 
WEWE UNAIPELEKA WAPI FAMILIA YAKO? MH. RAISI AMEINGILIA NINI KATIKA SHUGULI ZAKO ZA KILA SIKU? ACHA UVIVU NA KULALAMIKA KAMA MWANAMKE FANYA KAZI USTAWISHE FAMILIA YAKO ACHA KUTAFUTA SABABU WEWEEEE!
Jibu hoja acha maneno ya kanga dada
 
"
Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea!" WEWE UMEPANDA USAFIRI GANI UNAOENDESHWA NA MH. RAISI MPAKA UULIZE UNAPELEKWA WAPI? KAMA KUPOTEA UMEAMUA MWENYEWE KUPOTEA KWAKUWA MH. RAISI HAJAKUINGILIA KATIKA MAISHA YAKO YA KILA SIKU ACHA KUTAFUTA SABABU TEKELEZA WAJIBU WAKO KAMA HUWEZ KAJIUWE!
 
Kuna thread humu inaelezea ahadi za Magufuli nenda kaisome....

Halafu kuna Ilani ya CCM nenda kaisome pia.

Halafu rudi hapa uje kutuuliza ambacho hujakielewa..
Katika hayo sijaona kuhamia Dodoma wa kupiga marufuku siasa. Msaada please
 
HADI lini??//
 
Bei ya sukrai imeathiri biashara yangu ya vitumbua,na nadhan unajua chanzo cha kupanda kwa hiyo bei
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…