Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utamjuaje mchezaj timu pinzani kama mzr au la wakati humpi namba ya kucheza? Jiulze kwa nn kazuia miktano kisiasa? Kwa nn anapga vita vyombo habar na magazeti?Tulitaka nchi iendeshwe kwa nidhamu kama ilivyo sasa.
Ki ukweli kwa sasa vyama vya upinzani vimepoteza kabisa mvuto. Vimepoteza dira na kila kitu.
Anayebisha haya niliyoyasema naomba aniambie, ni sera gani ya chama chochote cha upinzani inashughulikiwa kwa sasa ili kuleta maendeleo ya nchi na wananchi?
Hapo utagundua kuwa wanaojifanya wapinzani wengi wao wanajali maslahi yao tu.
Sawa, tumejua upo usa.....ila Trump anaapishwa leo jiandae kufungasha virago.