aminiusiamini
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 3,577
- 2,224
Kwanza wakubwa Salaam,
Nimekaa hapa nikiwaza sana kuhusu future ya Tanzania yetu.
Kwa mara ya kwanza kabisa,niko na wasiwasi na maisha yangu,familia yangu na ndugu zangu watanzania.
Mimi namsuport magufuli pale naona ni maslahi ya nchi. Siko hapa kwa nia ya kumtukana wala kumpaka matope,ni ukweli ulio wazi kuwa nchi inamshinda.
Naona kama Raisi Magufuli ameingia madarakani kujenga chama na sio nchi.Hatuwezi kila siku kuongelea siasa za CCM na Chadema. Hii ni nchi na sio club ya mpira au michezo.
Uchumi upo upo tu na hakuna kinachofanyika kujenga rather tunakuwa na 1980s fiscal and monetary policies ambazo zimepitwa na wakati. Pia katiba imepitwa na wakati.
Raisi anaongelea viwanda viwanda. Mimi nathani angeongelea kilimo kilimo na Elimu Elimu.
Jamani dunia imetuacha sana sisi waafrica ni lini tutasimama na kuelewa hilo?
Magufuli pamoja napenda stance yako juu ya rushwa na uwajibikaji katika serikali. Kuna madudu yako tutayasikia its matter of time na sioni lolote mbele ambalo itafanya nchii hii kuendelea na kukua in a positive direction both morally and prosperity. Unaturudisha nyuma kaka.
Message sent and delivered.
Ahsante.