Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Kwanza wakubwa Salaam,

Nimekaa hapa nikiwaza sana kuhusu future ya Tanzania yetu.
Kwa mara ya kwanza kabisa,niko na wasiwasi na maisha yangu,familia yangu na ndugu zangu watanzania.

Mimi namsuport magufuli pale naona ni maslahi ya nchi. Siko hapa kwa nia ya kumtukana wala kumpaka matope,ni ukweli ulio wazi kuwa nchi inamshinda.

Naona kama Raisi Magufuli ameingia madarakani kujenga chama na sio nchi.Hatuwezi kila siku kuongelea siasa za CCM na Chadema. Hii ni nchi na sio club ya mpira au michezo.
Uchumi upo upo tu na hakuna kinachofanyika kujenga rather tunakuwa na 1980s fiscal and monetary policies ambazo zimepitwa na wakati. Pia katiba imepitwa na wakati.

Raisi anaongelea viwanda viwanda. Mimi nathani angeongelea kilimo kilimo na Elimu Elimu.
Jamani dunia imetuacha sana sisi waafrica ni lini tutasimama na kuelewa hilo?

Magufuli pamoja napenda stance yako juu ya rushwa na uwajibikaji katika serikali. Kuna madudu yako tutayasikia its matter of time na sioni lolote mbele ambalo itafanya nchii hii kuendelea na kukua in a positive direction both morally and prosperity. Unaturudisha nyuma kaka.

Message sent and delivered.

Ahsante.
 
Tulia uandike vizuri afu usiku sana huu umekosa usingizi nini au ndio mambo ya vyuma kukaza ata ukijikwaa unamlaumu Mkuu
 
Jamaa ana Insomnia..hana majukumu asubuhi (Kazi kushnei)..anatumia JF via Free basics (Free of charge)..Lazima amlaumu mzee kipara..ni haki yake lakini hajatoa suluhisho..I feel him..namuonea huruma!
 
Huyu Mheshimiwa ni sawa kaiokota tz jalalani, ngoja aitoe toe ule uchafu ili aanze kuipamba. Mpeni muda na ushirikiano. Mpeni maoni na maono awape tz mpya.
 
Yaani yeye mwenyewe alishiriki kuiweka nchi jalalani! Halafu unategemea yeye huyo huyo na crooks wenzake wa CCM ndiyo waitoe uchafu?!? If you aren’t satirical, basi shida ipo.
 
Tuachane na Rais Magufuli, hawa kutoka CHADEMA wanatufaa sana kutoa uchafu nchini!

lowassa, sumaye, kingunge.jpg
 
Tuachane na Rais Magufuli, hawa kutoka CHADEMA wanatufaa sana kutoa uchafu nchini!

View attachment 636111
Kama wanapatikana na hatia za ufisadi n.k., hawatufai! Lowassa alijiuzulu kwa Richmond. Watu tuliposema anapaswa kufikishwa Mahakamani, nyiye maCCM mkasema kujiuzulu ni adhabu tayari, hakuna haja ya kufikishwa Mahakamani. Sumaye, sijui kosa lake ni lipi? Maana alimaliza uPM wake! Na wala sikuwahi kusikia akisemwa, mpaka alipohamia CHADEMA.

Magufuli uchafu wake ameuanza toka akiwa waziri: mikataba ya dili za barabara, CAG alithibitisha ufisadi wake. Manunuzi ya Dar Ferry, CAG alithibitisha ufisadi wake. Uuzaji wa nyumba za serikali, CAG alithibitisha ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka ya umma. Na anauendeleza sasa akiwa Rais: kuidhinisha matumizi ya fedha za umma bila ridhaa ya Bunge. Kutoa tenda za ujenzi bila kufuata procurement na tendering procedures za serikali. Huku kampuni moja ambayo ana conflict of interest ikipewa tenda kubwa ya mabilioni ya pesa.

Anyways, nafahamu maCCM mtamtetea kwa nguvu zenu zote, kama mlivyowatetea akina Lowassa na Nyalandu walipokuwa kwenu. Kama mlivyo mabubu kwa kina Chenge, Kikwete, Mkapa, Ngeleja n.k., kwa sababu bado wapo kwenu. Chifu, tuombe uzima na ikiwa mtu wa CCM atashinda (knock on wood) baada ya Magufuli, halafu aanze kuonyesha madudu tunayosema sasa, tuone mtakavyosema. Amina
 
Mimi nimetoa ushauri kuhusu wanaotufaa kuwa Rais wa Tanzania lakini ulichofanya ni kuandika maelezo marefu ambayo hayana mantiki kwa sasa kwa sababu majibu yake yameishatolewa muda mrefu.

Nashangaa unaleta mambo ya ufisadi wakati katika bandiko langu sijagusia suala la ufisadi. Unajihami wakati sijarusha kombora lolote. Hii inaonyesha jinsi unavyosumbuliwa na guilty conscience inayochagizwa na swali lililoulizwa na Dkt. Slaa. Are they assets or Liabilities?

Majibu ya hoja zako angalia hizi video.

Are they assets or liabilities?

Mimi nadhani hawa wanatufaa mmojawapo kuwa Rais wa Tanzania!
lowassa-sumaye-kingunge-jpg.636111
 
Tunashukuru kuwa miongoni mwa wenye akili kwa kuliona hili na kulisema wazi wazi,hakuna atakachofauru 'Magu' katika utawala wake nalisema hili kutokana na yaliyojiri na yanayojiri Nchini kupitia utawala huu,analolisema ni tofauti na alitendalo.Nchi ya viwanda siyo mchezo,labda viwanda jina kama anavyovijua Waziri eg viwanda vya cherehani,lakini viwanda nivijuavyo mimi,hiyo tusahau na kamwe haitatokea Tanzania ya viwanda,nalisema hili bila unafiki kabisa,hauwezi jitoa akili kwa kusema uongo,huo nnauita kujidanganya mwenyewe na pia ni ujinga.
 
Sasa nini kifanyike? kulia lia bila kutoa Plan B unakua huna tofauti kimawazo kama Bi.Grace wetu!

Kaka nimetoa plan hapo juu. Moja wapi ikiwa na kuwasaidia wakulika wadogo,elimu na vile kubadilisha katiba.
Kaka sijui umesoma wapi,but naona urudi shuleni. Usiongee au kuandika kwa mihemko.
 
Tulia uandike vizuri afu usiku sana huu umekosa usingizi nini au ndio mambo ya vyuma kukaza ata ukijikwaa unamlaumu Mkuu

Brother,nashukuru kwa opinions zako. Ni wazi haupo nchini na wala huna nia ya kuwekeza au kurudi Tanzania au kujali kuhusu mustakabali wa nchi.
 
Tunashukuru kuwa miongoni mwa wenye akili kwa kuliona hili na kulisema wazi wazi,hakuna atakachofauru 'Magu' katika utawala wake nalisema hili kutokana na yaliyojiri na yanayojiri Nchini kupitia utawala huu,analolisema ni tofauti na alitendalo.Nchi ya viwanda siyo mchezo,labda viwanda jina kama anavyovijua Waziri eg viwanda vya cherehani,lakini viwanda nivijuavyo mimi,hiyo tusahau na kamwe haitatokea Tanzania ya viwanda,nalisema hili bila unafiki kabisa,hauwezi jitoa akili kwa kusema uongo,huo nnauita kujidanganya mwenyewe na pia ni ujinga.

Mkuu nashukuru. Namwomba Mwenyezi Mungu tu atuokoe kwa lolote baya Tanzania inaweza kupitia naamini tutashinda.
Tujengee nchi mkuu.
 
Kama wanapatikana na hatia za ufisadi n.k., hawatufai! Lowassa alijiuzulu kwa Richmond. Watu tuliposema anapaswa kufikishwa Mahakamani, nyiye maCCM mkasema kujiuzulu ni adhabu tayari, hakuna haja ya kufikishwa Mahakamani. Sumaye, sijui kosa lake ni lipi? Maana alimaliza uPM wake! Na wala sikuwahi kusikia akisemwa, mpaka alipohamia CHADEMA.

Magufuli uchafu wake ameuanza toka akiwa waziri: mikataba ya dili za barabara, CAG alithibitisha ufisadi wake. Manunuzi ya Dar Ferry, CAG alithibitisha ufisadi wake. Uuzaji wa nyumba za serikali, CAG alithibitisha ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka ya umma. Na anauendeleza sasa akiwa Rais: kuidhinisha matumizi ya fedha za umma bila ridhaa ya Bunge. Kutoa tenda za ujenzi bila kufuata procurement na tendering procedures za serikali. Huku kampuni moja ambayo ana conflict of interest ikipewa tenda kubwa ya mabilioni ya pesa.

Anyways, nafahamu maCCM mtamtetea kwa nguvu zenu zote, kama mlivyowatetea akina Lowassa na Nyalandu walipokuwa kwenu. Kama mlivyo mabubu kwa kina Chenge, Kikwete, Mkapa, Ngeleja n.k., kwa sababu bado wapo kwenu. Chifu, tuombe uzima na ikiwa mtu wa CCM atashinda (knock on wood) baada ya Magufuli, halafu aanze kuonyesha madudu tunayosema sasa, tuone mtakavyosema. Amina

this is what we call open ,mkuu atakae kupinga hapa ana uchama na ushabiki usio faida-asante
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom