G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,795
- 36,704
Mkuu naapa kwa jina la Mungu kuwa huu mjadala nimekutana nao na niliyoyaandika ni baadhi tu ya niliyoyasikia.Nimesikia mengi sana!Unafiki mtupu, siku ya kufa kwako utabaki mdomo wazi, huko hatujafika hata kidogo na hatutafika, tender hutangzwa na hutolewa kwa yule aliekidhi vigezo na si vinginevyo.
Kama huko nyuma taratibu zilikiukwa na upendeleo ulitawala kwa wasio na vigezo kupewa tender, zama hizo zimepita, hanyimwi mtu tender kwa kabila lake, acha kupanda chuki, hailisaidii taifa, sanasana ni kuliangamiza