Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Unafiki mtupu, siku ya kufa kwako utabaki mdomo wazi, huko hatujafika hata kidogo na hatutafika, tender hutangzwa na hutolewa kwa yule aliekidhi vigezo na si vinginevyo.

Kama huko nyuma taratibu zilikiukwa na upendeleo ulitawala kwa wasio na vigezo kupewa tender, zama hizo zimepita, hanyimwi mtu tender kwa kabila lake, acha kupanda chuki, hailisaidii taifa, sanasana ni kuliangamiza
Mkuu naapa kwa jina la Mungu kuwa huu mjadala nimekutana nao na niliyoyaandika ni baadhi tu ya niliyoyasikia.Nimesikia mengi sana!
 
Yaani mtu mzima unakamata sim unaandika Upuuzi kama huu.Unadhani unaandikia watoto wenzio?Kwa hiyo unataka kusema wanasajili kampuni upya?na kubadilisha majina ya watoto wao kisa hayatakiwi hapa nchini au?na siku yakitakiwa majina hayo ya Tarimo watawabadilisha tena?....Hebu tuwe tunatumia hata akili kidogo tu.
 
Yaani mtu mzima unakamata sim unaandika Upuuzi kama huu.Unadhani unaandikia watoto wenzio?Kwa hiyo unataka kusema wanasajili kampuni upya?na kubadilisha majina ya watoto wao kisa hayatakiwi hapa nchini au?na siku yakitakiwa majina hayo ya Tarimo watawabadilisha tena?....Hebu tuwe tunatumia hata akili kidogo tu.
Kama umerogwa vile
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Waunganishe kwangu mabenki ya ughaibuni yanotoa mikopo kwa riba ndogo..ila nikiunganisha 2% commission..🙂🙂
 
Yaani kwa uongo huu ni sawaa kupanda mlima kinyume yume.

fact! 1:Kampuni imesajiliwa tayari sasa unabadili vipi?
2:Kuna baadhi ya document mfano bank, Id na nk nazo unabadili?
3:Huu ubaguzi umeanza lini km umefuata sheria zote na kazi yako nzuri?
 
Mleta mada mzushi Serikali hufanya biashara na kampuni sio watu binafsi .kwa hiyo wamebadili majina kuanzia kwa msajili wa makampuni kubadili majina ya wamiliki na pia wamebadili majina TRA na pia wamebadili majina ya signatories bank na wamebadili majina vitambulisho vyao vya taifa na passport,na vyeti vyao vyote vya masomo na kuzaliwa wamebadili ? kubadili jina si kitu rahisi hivyo mchochezi bwege wewe lazima litangazwe hadi gazeti LA Serikali.Huu uzushi wa kipuuzi.Mleta mada chunga usifikiri kujificha nyuma ya keyboard ndio huwezi dakwa.Ni geografia tu kujua uko longitude na latitude namba ngapi kwenye point zinapo intersect unafikiwa hadi hapo ulipo na unadakwa kirahisi tu
 
Yaani mtu mzima unakamata sim unaandika Upuuzi kama huu.Unadhani unaandikia watoto wenzio?Kwa hiyo unataka kusema wanasajili kampuni upya?na kubadilisha majina ya watoto wao kisa hayatakiwi hapa nchini au?na siku yakitakiwa majina hayo ya Tarimo watawabadilisha tena?....Hebu tuwe tunatumia hata akili kidogo tu.
Sasa unadhani mimi naweza kupoteza muda kutunga story? Nilitamani kujua wanawezaje kufanya hivyo kirahisi kwani naelewa ni vigumu kujificha na hata kubadili jina la kampuni ambalo umelitengeneza. Ila nikagundua pia kuwa kama wanapigiwa hadi simu na wasaidizi wa mkuu, huenda yeye ndiyo hasa mkuu anaangalia jina la mkurugenzi linafananaje! Labda hiyo ya kubadili majina au kuweka initials haijalishi kama kampuni inajulikana au vipi ila ni vigumu mkuu kuzielewa kampuni zote ila akishaona tu mkurugenzi wake ni fulani kutokana na jina basi palepale anakata! Lazima tukiri kuwa mkuu ameasisi hilo la kuangalia kazi kikabila na data zipo! Kina Lissu walilisemea! Sasa unaweza kupunguza makali kwa kutokutumia hilo jina. Unafanya hivyo ili kujiweka walau kwenye eneo ambalo hutakatwa mwanzoni kutokana na jina! Hilo walau utaliepuka ingawa huna uhakika.

Kuhusu mambo ya zabuni kwa kufuata taratibu siku hizi hayapo tena!

Umesema kama yatahitajika, je unaweza kusubiri na njaa kali leo ili ujipe matumaini pengine ya kushiba kesho wakati hujui hiyo kesho itakuwaje? Epuka hilo kama njia zipo.

Nimekutana na huu mjadala na watu walikuwa wanaongea wakimaanisha!
 
Hao watu wakati wenzao wanalalamika kunyimwa fursa,walikuja juu sana kwamba wamesoma,acha wachomolewe,walikua wanapeana tenda kwa kuamgalia majina,sie akina Mwalwisi tulisubiri sana na hatukulia lia
irresponsible grown ups with academic dwarfism

rekless hatred!
 
Kuna makabila hapa TZ wakishapata tu nyie wengine mtajuta. Naweza kusema ni watu jamii ya ng'ombe, siyo binadamu kabisa. Natamani kuishi kabda ya ziwa ila nikiyafikiria haya mambo.
 
Kweli hizi ni stori za kijiweni kama alivyosema yaani zamani tunaita wazurulaji, katika tender application unaingia kwa jina la kampuni au biashara na kama ukibadirisha inamaana unaanza upya kuanzia tin namba. Hii ni proses ndefu na tenda ni mwaka 1 na kumbukumbu zako ndiyo zinakusaidia kupata tena sasa jamaa wa kijiwe katupa jiwe.
 
Mleta mada mzushi Serikali hufanya biashara na kampuni sio watu binafsi .kwa hiyo wamebadili majina kuanzia kwa msajili wa makampuni kubadili majina ya wamiliki na pia wamebadili majina TRA na pia wamebadili majina ya signatories bank na wamebadili majina vitambulisho vyao vya taifa na passport,na vyeti vyao vyote vya masomo na kuzaliwa wamebadili ? kubadili jina si kitu rahisi hivyo mchochezi bwege wewe lazima litangazwe hadi gazeti LA Serikali.Huu uzushi tena wa kipuuzi
Sasa huu mjadala nimekutana nao na wanakiri wazi kuwa katika kila document wanayoandika sasa, hawaweki jina la ukoo kama walivyosema ni kwa yale wanayoamini kuwa yanajulikana. Hawa ni wakurugenzi wa makampuni ila mengi ni madogo madogo. Wanafanya hivyo kutokana na ushauri wanaopewa na wasaidizi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom