GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Miaka mitano umekanyaga haki za watumishi wa Umma, unakiuka waziwazi sheria za Utumishi wa Umma Halaf unatamba kununua ndege kila kukicha, huku unatutukana na kuwatukana Nyerere Hadi Kikwete Kwamba hawakununua Ndege as if Ndege is someone's manhood...
Hata huwazi Kuwa wenzako Hizo hela unazozitumia wewe kwa kificho Bila Bunge wala CAG Kujua wenzako walizitumia kulipa nyongeza ya mishahara kwa watumishi waliopo na kuajiri wengine wapya...
Wewe umedhulumu Haki za watu Kisa unapenda ndege...sawa Mzee wa Midege, See You in the ballot booth next year...UNA DHARAU SANA YAN!
Porojo zako zingine nakuachia mwenyewe ila hilo la Watumishi wa Umma kutolipwa Mishahara ndani ya Miaka Mitano kama ulivyobainisha hapa nitakukatalia hadi mwisho wa dunia kwani hapa umedanganya hadi umepitiliza. Hata hivyo sikushangai sana kwani Watu wote ambao ni ' Anti - Magufuli ' mna Vipaji vikubwa mno vya Uzushi, Uwongo, Chuki na Wivu mwingi sana.