Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Uwezo wa kupambana dhidi ya rushwa, ufisadi, na pia kwenye utawala bora amepwaya sana. Binafsi amenikatisha sana tamaa. Mwanzoni alianza vizuri. Ila kwa sasa amepoteza uelekeo.
Nani alipambana na rushwa,ufisadi nchi hii'!?.. utawala bora alifuta kesi za chadema, waliokua nje walirudi, maridhiano,kimetokea nini baada ya hapo!?..tutaanzisha uasi,tutakinukisha..halafu unataka uachwe!!..huyo mbuzi ashughulikiwe
 
Nchi imekufa au Nini mbona nchi ipo hoi Sana kimaadili shida Nini Nani tumseme Kama sio namba moja?

Miaka yote anatoa pesa za bao la mama toka mwaka 2021 hizo pesa zimepigwa na wajanja yeye yupo tu

Bilion 30 zimepigwa na wajanja

Kama Rais amaruhusu wizi hivi je yeye sio fisadi?

Wewe Kama sio mwizi utaruhusuje watu kufanya wizi?

Mimi ni shabiki wa damu wa yanga Ila Rais kwenye football umetuhujumu sana!!

Toka 2021 hauna mradi wowote uliouanzisha na kuusimamia

Imeniuma Sana kuona unapalilia ufisadi umewakera Sana mashabiki wa Simba
 
Ni jambo la kumshukuru mheshimiwa rais daktari profesa Samia Suluhu Hassan
 
Miaka yote anatoa pesa za bao la mama toka mwaka 2021 hizo pesa zimepigwa na wajanja yeye yupo tu

Bilion 30 zimepigwa na wajanja

Kama Rais amaruhusu wizi hivi je yeye sio fisadi?

Wewe Kama sio mwizi utaruhusuje watu kufanya wizi?

Mimi ni shabiki wa damu wa yanga Ila Rais kwenye football umetuhujumu sana!!

Toka 2021 hauna mradi wowote uliouanzisha na kuusimamia

Imeniuma Sana kuona unapalilia ufisadi umewakera Sana mashabiki wa Simba
1.Unasema hana mradi wowote aliouanzisha, seriously? 2. Hiyo miradi mingine mikubwa ya kimkakati kama SGR, JNHHP, Kigongo Busisi na mingine ulitaka aiache katika hizo 20 asiimia alizozikuta kwa sababu tu ilianzishwa akiwa Makamu wa Rais? Unadhani ingekuwa akili hiyo? Andika kama angalau mtu uliwahi kupita hata darasa la 3 C.🙏🙏🙏
 
Miaka yote anatoa pesa za bao la mama toka mwaka 2021 hizo pesa zimepigwa na wajanja yeye yupo tu

Bilion 30 zimepigwa na wajanja

Kama Rais amaruhusu wizi hivi je yeye sio fisadi?

Wewe Kama sio mwizi utaruhusuje watu kufanya wizi?

Mimi ni shabiki wa damu wa yanga Ila Rais kwenye football umetuhujumu sana!!

Toka 2021 hauna mradi wowote uliouanzisha na kuusimamia

Imeniuma Sana kuona unapalilia ufisadi umewakera Sana mashabiki wa Simba
Kaka huyu Raisi ni bogus sana,na hizi billion 30 hawajazitoa serekali ya CCM,zimetolewa na CAF,na wajanja wamezipiga,waweza kuta hata Abdul ana mgao wake
 
Back
Top Bottom