Ikizu Bukama
JF-Expert Member
- Nov 26, 2023
- 560
- 1,061
Sana yaani,sijui Magufuli alimtolea wapi mtu mpuuzi Kama huyu kuwa makamu wakeBora JPM 100% kuliko huyu mama
Sana yaani,sijui Magufuli alimtolea wapi mtu mpuuzi Kama huyu kuwa makamu wakeBora JPM 100% kuliko huyu mama
Huyu bibi yako ni mjinga,aachie kitu watu wenye akili waendeshe nchi1.Unasema hana mradi wowote aliouanzisha, seriously? 2. Hiyo miradi mingine mikubwa ya kimkakati kama SGR, JNHHP, Kigongo Busisi na mingine ulitaka aiache katika hizo 20 asiimia alizozikuta kwa sababu tu ilianzishwa akiwa Makamu wa Rais? Unadhani ingekuwa akili hiyo? Andika kama angalau mtu uliwahi kupita hata darasa la 3 C.🙏🙏🙏
C unajua tena wanawake kwa kuonewa hurumaSana yaani,sijui Magufuli alimtolea wapi mtu mpuuzi Kama huyu kuwa makamu wake
Samia ndani ya miaka minne aliyokaa ikulu amefanikiwa kuliko marais wote watano waliomtangulia.Miaka yote anatoa pesa za bao la mama toka mwaka 2021 hizo pesa zimepigwa na wajanja yeye yupo tu
Bilion 30 zimepigwa na wajanja
Kama Rais amaruhusu wizi hivi je yeye sio fisadi?
Wewe Kama sio mwizi utaruhusuje watu kufanya wizi?
Mimi ni shabiki wa damu wa yanga Ila Rais kwenye football umetuhujumu sana!!
Toka 2021 hauna mradi wowote uliouanzisha na kuusimamia
Imeniuma Sana kuona unapalilia ufisadi umewakera Sana mashabiki wa Simba
Tunaongelea swala dogo tu la kupanda nyasi,achana na mambo yenu ya kijinga huko CCM,kama kashindwa swala la kupanda nyasi tu,hayo.mengine ni uongo mtupuSamia ndani ya miaka minne aliyokaa ikulu amefanikiwa kuliko marais wote watano waliomtangulia.
Jitahidi uje na data ili uzi wako usionekane kuwa ni wale wale wapenda mipasho.
Habari ya uzushi ambayo ukiambiwa uitolee ufafanuzi nina uhakika huwezi zaidi zaidi utakuja na matusi mengi yaliyozoeleka kusikika.Kaka huyu Raisi ni bogus sana,na hizi billion 30 hawajazitoa serekali ya CCM,zimetolewa na CAF,na wajanja wamezipiga,waweza kuta hata Abdul ana mgao wake
Nani aliyekwambia kashindwa kupanda nyasi nenda uwanja wa Taifa muda huu kaone kazi iliyofanyika.Tunaongelea swala dogo tu la kupanda nyasi,achana na mambo yenu ya kijinga huko CCM,kama kashindwa swala la kupanda nyasi tu,hayo.mengine ni uongo mtupu
Nasikiliza taarifa ya CAF,achana na taarifa ya CCMNani aliyekwambia kashindwa kupanda nyasi nenda uwanja wa Taifa muda huu kaone kazi iliyofanyika.
Usisikilize huo upuuzi unaotengenezwa hapo Salamander na kina Priva pamoja na Ali Kamwe, hizo ni siasa za maji taka.
Ushaidi ni kazi iliyofanyikaHabari ya uzushi ambayo ukiambiwa uitolee ufafanuzi nina uhakika huwezi zaidi zaidi utakuja na matusi mengi yaliyozoeleka kusikika.
Hakuna bilioni 30 ya CAF iliyopigwa, uwanja unajengwa kwa pesa inayotoka kwao hakuna mtu yoyote wa serikali mwenye kuweza kuwaamulia CAF waitoe pesa.
Huyu Mama kayaendeleza yote yaliyoahidiwa na JPM pia kaongeza mengi mapya ya kwake mwenyewe. Hawezi kupewa sifa kwa sababu ndani ya akili zetu watanzania wengi huyu ni mwanamke kwanza, atahukumiwa siku zote kwa jinsia yake na sio kwa uwezo wa kazi yoyote atakayoifanya.Bora JPM 100% kuliko huyu mama
Huwa nawaona machizi kweli kweli wanaopoteza muda na kusema hajaanzisha mradi wowote. Hivi mmewahi kujiuliza ameikamilisha mingapi ya mwenzake?!!!!Miaka yote anatoa pesa za bao la mama toka mwaka 2021 hizo pesa zimepigwa na wajanja yeye yupo tu
Bilion 30 zimepigwa na wajanja
Kama Rais amaruhusu wizi hivi je yeye sio fisadi?
Wewe Kama sio mwizi utaruhusuje watu kufanya wizi?
Mimi ni shabiki wa damu wa yanga Ila Rais kwenye football umetuhujumu sana!!
Toka 2021 hauna mradi wowote uliouanzisha na kuusimamia
Imeniuma Sana kuona unapalilia ufisadi umewakera Sana mashabiki wa Simba
Acha kusikiliza porojo
Kwa pesa zipi? Zile zilizokwisha tengwa?au . ...... Za kwake alizokusanya zinatumika wapi?Huwa nawaona machizi kweli kweli wanaopoteza muda na kusema hajaanzisha mradi wowote. Hivi mmewahi kujiuliza ameikamilisha mingapi ya mwenzake?!!!!
Nenda kwa nyumbu wenzio huko....Kwa pesa zipi? Zile zilizokwisha tengwa?au . ...... Za kwake alizokusanya zinatumika wapi?
Jibu swali .Nenda kwa nyumbu wenzio huko....
Ngoja waje kina tlaahtlaah na Mwashambwa!Hivi huko CCM hamna mwanaume mwenye uweze wa kuongoza inchi,huyu Mama inchi imemshinda tunakoelekea miaka mitano ijayo itakuwa mibaya kabisa,
Sababu anaonekana anauwezo mdogo sana wa kuchambua mambo,ndiyo maana anapenda sana kusifiwa na kualikwaalikwa ili apate ingalau faraja,lakini akipata changamoto kidogo tu anachanganyikiwa
kiuhalisia hatuwezi kuongozwa na rais kama huyu,maana wanaompa ushauri wao hawajali kivile sababu mwisho wa siku anayelaumiwa ni yeye
inaonekana yeye anaupokea kama ulivyo ndiyo maana amebadilika sana kutoka yule samia wa mapatano na wapinzani mpaka huyu jeuri