gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Nani alipambana na rushwa,ufisadi nchi hii'!?.. utawala bora alifuta kesi za chadema, waliokua nje walirudi, maridhiano,kimetokea nini baada ya hapo!?..tutaanzisha uasi,tutakinukisha..halafu unataka uachwe!!..huyo mbuzi ashughulikiweUwezo wa kupambana dhidi ya rushwa, ufisadi, na pia kwenye utawala bora amepwaya sana. Binafsi amenikatisha sana tamaa. Mwanzoni alianza vizuri. Ila kwa sasa amepoteza uelekeo.
Well said .
Toka 2021 hakuna mradi wowote uliouanzisha na kuusimamia
Ni jambo la kumshukuru mheshimiwa rais daktari profesa Samia Suluhu HassanMiaka yote anatoa pesa za bao la mama toka mwaka 2021 hizo pesa zimepigwa na wajanja yeye yupo tu
Bilion 30 zimepigwa na wajanja
Kama Rais amaruhusu wizi hivi je yeye sio fisadi?
Wewe Kama sio mwizi utaruhusuje watu kufanya wizi?
Mimi ni shabiki wa damu wa yanga Ila Rais kwenye football umetuhujumu sana!!
Toka 2021 hauna mradi wowote uliouanzisha na kuusimamia
Imeniuma Sana kuona unapalilia ufisadi umewakera Sana mashabiki wa Simba
Ni jambo la kumshukuru mheshimiwa rais daktari profesa Samia Suluhu HassanMafisadi Wana tabia ya kukaa na mafisadi, Bi yenu ndo kubwa la mafisadi.
Mbona hiyo Iko wazi mkuuKuna siku niliwahi kusema Mwana FA anaweza kuwa katengeneza pesa ndefu sana kuzidi hela yote aliyopata miaka yake yote kwenye music
Tumshukuru mheshimiwa rais daktari profesa Samia Suluhu HassanMbona hiyo Iko wazi mkuu
Kumbe ni prof. PiaTumshukuru mheshimiwa rais daktari profesa Samia Suluhu Hassan
Hujui? Tena ni emeritaKumbe ni prof. Pia
Bao kama bao
Chura Kiziwi...Bao kama bao
1.Unasema hana mradi wowote aliouanzisha, seriously? 2. Hiyo miradi mingine mikubwa ya kimkakati kama SGR, JNHHP, Kigongo Busisi na mingine ulitaka aiache katika hizo 20 asiimia alizozikuta kwa sababu tu ilianzishwa akiwa Makamu wa Rais? Unadhani ingekuwa akili hiyo? Andika kama angalau mtu uliwahi kupita hata darasa la 3 C.πππMiaka yote anatoa pesa za bao la mama toka mwaka 2021 hizo pesa zimepigwa na wajanja yeye yupo tu
Bilion 30 zimepigwa na wajanja
Kama Rais amaruhusu wizi hivi je yeye sio fisadi?
Wewe Kama sio mwizi utaruhusuje watu kufanya wizi?
Mimi ni shabiki wa damu wa yanga Ila Rais kwenye football umetuhujumu sana!!
Toka 2021 hauna mradi wowote uliouanzisha na kuusimamia
Imeniuma Sana kuona unapalilia ufisadi umewakera Sana mashabiki wa Simba
Kaka huyu Raisi ni bogus sana,na hizi billion 30 hawajazitoa serekali ya CCM,zimetolewa na CAF,na wajanja wamezipiga,waweza kuta hata Abdul ana mgao wakeMiaka yote anatoa pesa za bao la mama toka mwaka 2021 hizo pesa zimepigwa na wajanja yeye yupo tu