Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

kuna better way ya kuongoza nchi. si lazima style ya ayati.
mfumo wake ulikuwa una mazuri yes but ulikuwa unaacha damage kubwa behind.

watanzania sio punda. punda style sio solution kwa kila kitu
Ingelikuwa zama za Magufuli, Kalemani angekaa kimya tangia ili sakata limeanza?

Au Mwinyi ndio angekuwa raisi wa bara angevumilia ili, swala lishakua tatizo sugu viongozi serikalini kama awaoni vile.

Uongozi huu wa kutofuatilia mambo na kuwaachia too much freedom wasaidizi wake kwenye utendaji ndio iliomfanya JK aonekane ovyo, ilhali he had good intentions.

Tunarudi kule kule tulipokukataa hadi CCM ikaona ilete mtu kama Magufuli kubadilisha huu mwanzo tu.
 
Nyie ndio mnampoteza mama....
ilitakiwa aendelee kwa speed pale alipoishia Magufuli....
 
Kwanini Rais Samia ahangaike na TANESCO wakati waziri yupo? Nini maana ya kuwa na wasaidizi sasa?
Jiwe ameharibu akili za wapuuzi wengi kila kitu Rais atoe tamko.

Waziri ameshatoa taarifa na hatua zimeelezwa sasa Rais aseme nini
 
Mnamtupia mama lawana kila kitu hilo shirika halina manager, hamna waziri anayesimamia hilo shirika, hamna katibu mkuu, acheni upopoma!

Mama tunaandamana apewe 5 tena! Ukijickia kichefu chefu ndimu itakusaidia
Mama lazima atupiwe lawama, yeye ndie mkuu wa nchi, awawajibishe ambao wana mamlaka na wameshindwa simamia shirika mpaka sasa, kwa nini hao watu hawapo na pia hata kama hawapo mbona kabla yake mambo yalikua freshi..
Utamsikia tu kweye hotuba NINASIKIA SIKIA HUKO KWENYE MITANDAO...
 
Unakurupuka, Waziri ameshatoa tamko na hatua zimechukuliwa
 
Hebu tuondolee upumbavu wako! Madudu yote haya ya kesi 147 za kubambikiwa na watu kuporwa mabilioni yao na huyo jambazi Sabaya huyaoni? Au umeamua kujitoa ufahamu kuhusu yule dhalimu na dikteta magufuli!?
Ipe muda ipo siku akili zako zitakaa sawa tu utaelewa uongozi sio lelemama maslahi yako yataguswa tu kwa namna moja au nyingine ndio utazinduka.

Hizo kesi hazina uhusiano wowote na Magufuli ata yeye mara kadhaa alikuwa akipinga hayo.
 
Mama ni MUOGA sana anakiogopa kiti chake angalia issue ya Biswalo.

Mkuu kuhusu suala la Biswalo, mama alitaka kumuondoa pale na njia moja ni hiyo ya yeye kuteuliwa kuwa Jaji; kumbuka recommendations za kuteuliwa kuwa Jaji zinatoka kwenye Judiciary commission hivyo Rais hana budi kufuata ushauri wa mahakama kwenye mambo yanayohusu sheria. Kama kulikuwa na sababu za kiutendaji ambazo zingemzuia Biswalo kuwa Jaji hizo zilitakiwa kuainishwa na judicial commission na sio Rais; kufuata malamiko ya wakina Shangazi!
 
Reactions: BAK
Yes mkuu. Rais ana deal na waziri na sio DG wa TANESCO
 
Kwanini Rais Samia ahangaike na TANESCO wakati waziri yupo? Nini maana ya kuwa na wasaidizi sasa?
Wafuasi wa magufuli wana shida sana. Walishazoea kuona kila kitu kinafnywa na mtu mmoja tu. Yaani uzembe wa watu wachache, mpaka Rais atolee tamko!

Waziri mwenye dhamana alishachukua baadhi ya hatua kwa wasaidizi wake, lakini bado hawatosheki!
 
Samia Suluhu anafanyiwa Zengwe na hao Die hard Tagaz dawa ni apige chini Wachawi wote apange safu ya watu wapole wenye kupiga kazi kimyakimya bila kutafuta sifa kwa wananchi kwasababu ni wajibu wao
Kama atakua na mentality ya kucheka cheka na kuonea huruma watampoteza na atachukiwa na wananchi. Kashika rungu ila anacheka cheka tu. sipendi sana viongozi dhaifu...
 
Kwani nchi hii haina waziri wa nishati? Hiyo wizara haina katibu mkuu?

Mmeshazoea mfumo wa one man show na huo mfumo ndio umeleta shida mpaka leo. Kazi za waziri aachiwe waziri sio kila kitu afanye rais!!
 
Reactions: BAK
Nyie ndio mnampoteza mama....
ilitakiwa aendelee kwa speed pale alipoishia Magufuli....
Who is magufuli? Kila rais na style yake ya uongozi. Na hata huyo magu wako hakufwata style ya jk na hamna aliye lalamika.

Muacheni mama afanye kazi yake msimfundishe kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…