Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Ingelikuwa zama za Magufuli, Kalemani angekaa kimya tangia ili sakata limeanza?kuna better way ya kuongoza nchi. si lazima style ya ayati.
mfumo wake ulikuwa una mazuri yes but ulikuwa unaacha damage kubwa behind.
watanzania sio punda. punda style sio solution kwa kila kitu
Au Mwinyi ndio angekuwa raisi wa bara angevumilia ili, swala lishakua tatizo sugu viongozi serikalini kama awaoni vile.
Uongozi huu wa kutofuatilia mambo na kuwaachia too much freedom wasaidizi wake kwenye utendaji ndio iliomfanya JK aonekane ovyo, ilhali he had good intentions.
Tunarudi kule kule tulipokukataa hadi CCM ikaona ilete mtu kama Magufuli kubadilisha huu mwanzo tu.