Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

...swali bado lile lile kwa nini asishirikiane nao kukomesha hali hiyo?!
IGP ni yule yule,Mkuu wa usalama wa taifa ni yule na vyombo vya ulinzi na usalama ni vile vile waulize hao au Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi na Bunge la Job Ndugai.
 
Watu mmejisahau sana, hizo silaha mnatakiwa muwataje wanapozitoa, wajuzeni polisi haya mambo.
 
INTEGRITY TEST?

*(1) If you usually put more sugar in y
our tea when in a hotel than you do at home, You're likely to be corrupt!*

(2) If you use more tissue in a public washroom than you do at home, you are a potential thief if given opportunity.

(3) If you serve yourself more food than you can finish, not minding whether it will go round, just because someone else is footing the bill, you're greedy. And you will steal if opportunity presents itself.

(4) If you usually jump queues, you have the potential for abusing office if given a powerful position.

(5) If you are more concerned about knowing someone's surname rather than first name, you're likely to be a tribal bigot. It’s even worse when someone tells you their name & then you ask, "which tribe is that?" It means you are tribalistic.

(6) If you usually overtake while in traffic jam or have no regard for traffic lights, then you would easily embezzle public funds if you're given a position at a public office since you hate regulation .

(7) If you channel waste or dirty water from your compound to a neighbour's compound rather than managing it, you're ill-mannered. You don't love your neighbour as yourself.

(8) If you look at this post and wonder whether it was really necessary to talk about these issues; then you are very dishonest and you would easily cover up ills in the society for your own benefit.

LET US TRY TO BE PEOPLE OF GOOD CHARACTER WHEREVER WE FIND OURSELVES.
 
HAMNA cha ajabu, katika nchi ya demokrasia, inayo fuata rule of law na haki za binadamu - lazima majambazi, waporaji, wauza dawa za kulevya, watumiaji dawa za kulevya, mimba za utotoni na kurudi shuleni baada ya kujifungua na udhalimu wa kila aina lazima uwepo. Pia na migomo kila kukicha.
Kwa sababu watu wako huru. Jeshi la Polisi liangaikie hivyo kwa atakaye kamata, asiye kamata aendeleze udhalimu wake ni democracy!
Huwezi ukataka vitu vyote kwa pamoja - you can't eat your cake and have it! Chagua moja. Ukichagua democracy hayo utayapata yapo kwa wenzetu walio endelea ila habari hizo hawakwambii!
 
Jana nilikua maeneo flani sokoni hapa Morogoro, ghafla kinamama wafanya biashara wakaanza kukimbia na mboga mboga zao vichwani. Kumbe kuna migambo basi ikawa tafrani pale migambo kuchukua vibeseni vya samaki, viazi ulaya karoti wanapeleka kwenye gari lao nikasema tusharudi kuleeeee. mzanzibari ni dhaifu sana
 
Hii inatia wasi wasi kidogo, kinacho shangaza mbona IGP bado ni yule yule kwa zaidi ya miaka mitatu na matukio haya yalikuwa yamebaki ni historia - now a million dollar question to Ministry of home affairs is: why a U-turn all of a sudden?? Are they trying Madam President's patience or something.
 
Hakuna ujambazi ulio ongezeka.tofauti ni kwamba miaka mitano nyuma vyombo vya habari havikuwa huru kuripoti..na sasa vipo huru .mwendazake alikuwa raisi wa hivyo kabisa
Hata humu JF nako hatukua huru?
Acheni kusingizia upuuzi eti wa uhuru,watu tunaibiwa sa hivi mpaka tunaishi kimachale then mnaleta dhana za kijinga muwe against tu na mwendazake!
Mimi nimekaa Zaid ya miaka miwili nipo free sijaibiwa,week3 zimepita jirani kaibiwa,hazijapita siku mbili nami wamenilamba kitu changu cha thamani,Hii ni serious watu wachunge city vyao genge la wizi limerudi kwa kasi na next ni panya road
 
Keshakufa, hatorudi hata mfungue nyzi 1000. Kubalini kuwa Rais ni SSH. Weka ushahidi wa uwepo wa wizi na ujambazi just as from March. IGP ni yule yule, Wizara ya ndani ni ile ile unamlalamikia nani sasa'?
Subiri ya kukute boys wee,unaleta utani ktk city serious
 
Mkuu watanzania hatujazaliwa leo tuna akili timamu za kubaini usanii/maigizo - ni hivi ukitaka kutuletea tena adithi za kutunga next time jipange vizuri, safari hii umenoa kweli kweli mkuu.
 
Eti ujambazi umeongezeka,utadhani jiwe alikuwa anafanya patrol mitaani.

Ni ukuzaji tu wa mambo..kipindi cha jiwe kuna askari wa Crdb waliuliwa chanika majambazi yakapora hela ingekuwa kipindi hiki cha mama hii stori ingekuwa balaa.

Supussy gang tulieni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…