Pumba tu hizi....Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani.
Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari.
Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati Magufuli ndio mliotembea nchi nzima kuinadi kwa hiyo tunataka ahadi zilizoko kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi.
Tofauti na hapo hatutakuelewa tutanyima kura 2025 kama ukitaka kuomba ridhaa ya kugombea tena.
Jitahidi sana kwenye suala la kodi usiwalaumu tu TRA waonye hata wafanyabiashara pia maana ni wakorofi.
Jana tu tumeona wabunge wa CCM wanavyolia miradi kibao ipo ktk ilani lkn for years lkn haijaguswa na mingine hata mwaka huu unaokwisha...
Sasa Mama hata mwaka bado unaongea vitu gani ?
Au unadhani nae atakuwa mshamba wa kutembea na mabulungutu ktk gari na stage watu wa kuwapa ?
Tena shukuruni yupo busy kuziba mashimo na makovu ya huyo mtu wenu alietesa watu sana kwa kivuli cha kujifanya mzalendo....bingwa wa kubambikia watu kesi !!!
Yupo wapi sasa....mfateni kama mmem miss