Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Huyu ni mama wa mipasho.
Kama hii hapa 👇

IMG-20210717-WA0000.jpg
 
Taifa limekabidhi roho yake kwa mabeberu na wanalichezea wanavyotaka. Leo hii tunapinduliwa na kugeuzwa kadri mabeberu wanavyotaka. Wanatulazimisha kupata mikopo kupitia chanjo za Kovidi 19. Watanzania nao wamezigomea.

Watanzania wanakamuliwa kodi za kila aina ambazo hazijabadilisha uelekeo wa maisha yao hata kiduchu. Ukiongea kodi, ukicheka kodi ukimtumia bibi yako hela ya ugolo anakatwa kodi. Lakini huduma za kijamii kama afya na upatatikanaji wa maji safi hakuna.

Ccm ya mama Samia haijajitanabaisha kuwa inataka nini juu wananchi wa kawaida. Maana matatizo yao ya kila siku yanaongezeka. Hawana uhakika wa kula, huduma za afya ni tabu tubu, ajira ni tabu tupu. Lakini hawajasikia mama Samia akisema ana mpango gani kuwanusuru.

Taifa letu kama watanzania limetwaliwa na wapigaji wachache. Tutumbue macho.
Tatizo ni ushamba wako tu! Taifa liko pazuri na linaenda vizuri!

Hakuna nchi duniani inayoendelea kwa maendeleo ya kweli bila kodi! Kama hutaki kulipa kodi Tanzania nenda Marekani Au Uingereza Au China alafu rudi hapa useme hali ya kikodi huko ikoje!

Chuki zenu dhidi ya Samia mbaki nazo nyie wenyewe huko sio kutuletea maneno hapa nchi imepoteza muelekeo wakati mapato yanakusanywa vizuri, miradi inaendelea vizuri na kikubwa zaidi sasa tumeanza kufanya vizuri zaidi kiuchumi kuliko ilivyokuwa hapo awali!

Nenda kafuatilie ripoti ya Bank kuu za Uganda na Kenya uone kwa jinsi gani Tanzania sasa inauza zaidi mazao kwenye hizo nchi kuliko wao wanavyouza kwetu
 
😍👋
 
Tuzidishe dua tufike salama
Taifa limekabidhi roho yake kwa mabeberu na wanalichezea wanavyotaka. Leo hii tunapinduliwa na kugeuzwa kadri mabeberu wanavyotaka. Wanatulazimisha kupata mikopo kupitia chanjo za Kovidi 19. Watanzania nao wamezigomea.

Watanzania wanakamuliwa kodi za kila aina ambazo hazijabadilisha uelekeo wa maisha yao hata kiduchu. Ukiongea kodi, ukicheka kodi ukimtumia bibi yako hela ya ugolo anakatwa kodi. Lakini huduma za kijamii kama afya na upatatikanaji wa maji safi hakuna.

Ccm ya mama Samia haijajitanabaisha kuwa inataka nini juu wananchi wa kawaida. Maana matatizo yao ya kila siku yanaongezeka. Hawana uhakika wa kula, huduma za afya ni tabu tubu, ajira ni tabu tupu. Lakini hawajasikia mama Samia akisema ana mpango gani kuwanusuru.

Taifa letu kama watanzania limetwaliwa na wapigaji wachache. Tutumbue macho.
 
Taifa limekabidhi roho yake kwa mabeberu na wanalichezea wanavyotaka. Leo hii tunapinduliwa na kugeuzwa kadri mabeberu wanavyotaka. Wanatulazimisha kupata mikopo kupitia chanjo za Kovidi 19. Watanzania nao wamezigomea.

Watanzania wanakamuliwa kodi za kila aina ambazo hazijabadilisha uelekeo wa maisha yao hata kiduchu. Ukiongea kodi, ukicheka kodi ukimtumia bibi yako hela ya ugolo anakatwa kodi. Lakini huduma za kijamii kama afya na upatatikanaji wa maji safi hakuna.

Ccm ya mama Samia haijajitanabaisha kuwa inataka nini juu wananchi wa kawaida. Maana matatizo yao ya kila siku yanaongezeka. Hawana uhakika wa kula, huduma za afya ni tabu tubu, ajira ni tabu tupu. Lakini hawajasikia mama Samia akisema ana mpango gani kuwanusuru.

Taifa letu kama watanzania limetwaliwa na wapigaji wachache. Tutumbue macho.
Usitupigie kelele ,wenda tunayoyaona ni kutokana na MAUMIVU ya mwendazake ,yule mzee alikua mwongo Sana akisaidiwa na timu mapambio ,KAZI ikiwa kufilisi WATU pesa zao pitia KESI za kuhujum uchumi
 
Pale tumeingia cha kike.

Wa kulaumiwa ni ccm, kuweka viongozi kwa fadhila ama kufanya masihala na uongozi wa nchi hii.

Chini ya ccm hatutafika mahala popote. Yule mama hakuna kitu, hajielewi, hajitambui na wala hajui anafanya nini.

Tanzania sijui tunakosea wapi.
Watanzania wazembe na wapumbavu ni wengi sana. Hivi unatumia kipimo gani kusema Rais SSH hamna kitu?

Yule aliyepita alikuwa hata uhuru wa maoni kwa wananchi amekataza, huyu amewapa uhuru ndiyo huo mnautumia kumkejeli?

Yule alikuwa ana kikundi cha WASIOJULIKANA chini ya Makonda kinateka na kuua, bado hujaridhika na utawala wa Mama ambao una uhakika kutembea au kuishi popote bila kuuawa?

Yule alikuwa anapokonya fedha za matajiri kwenye akaunti na kuwatupa jela, huyu anataka Kodi sahihi na ya haki.

Yule alikuwa anachukua Kodi za Watanzania na kujenga miundombinu Kijijini kwao, huyu anajenga miundombinu panapostahili

Watanzania hamna shukrani
 
Taifa limekabidhi roho yake kwa mabeberu na wanalichezea wanavyotaka. Leo hii tunapinduliwa na kugeuzwa kadri mabeberu wanavyotaka. Wanatulazimisha kupata mikopo kupitia chanjo za Kovidi 19. Watanzania nao wamezigomea.

Watanzania wanakamuliwa kodi za kila aina ambazo hazijabadilisha uelekeo wa maisha yao hata kiduchu. Ukiongea kodi, ukicheka kodi ukimtumia bibi yako hela ya ugolo anakatwa kodi. Lakini huduma za kijamii kama afya na upatatikanaji wa maji safi hakuna.

Ccm ya mama Samia haijajitanabaisha kuwa inataka nini juu wananchi wa kawaida. Maana matatizo yao ya kila siku yanaongezeka. Hawana uhakika wa kula, huduma za afya ni tabu tubu, ajira ni tabu tupu. Lakini hawajasikia mama Samia akisema ana mpango gani kuwanusuru.

Taifa letu kama watanzania limetwaliwa na wapigaji wachache. Tutumbue macho.
Walioiletea MAHANGAIKO na SHIDA hizi TANZANIA ni wale wale hivyo Usitarajie MATATIZO ya Watanzania Yatatatuliwa Nao
Huwezi kutatua MATATIZO na Walioyatengeneza

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom