Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Mumepigwa kama hivi πPale tumeingia cha kike.
Wa kulaumiwa ni ccm, kuweka viongozi kwa fadhila ama kufanya masihala na uongozi wa nchi hii.
Chini ya ccm hatutafika mahala popote. Yule mama hakuna kitu, hajielewi, hajitambui na wala hajui anafanya nini.
Tanzania sijui tunakosea wapi.
Nchi inapwaya yanafichwa mengi tutajua akiondoka.
π€£πππͺSafi Sana,atawapuuza na hajali yuko focused kwenye kitu anachoona kinafaa
ππ
Inapitea kama ifuatavyo πUkimtazama Magufuli, Mkapa, Nyerere halafu uka-compare na huyu tuliyenaye ndo unajua nchi inapotea na iko mikokoni mwa outlier
πππππMimi nadhani ni wewe ndo umepoteza mwelekeo mkuu..
Tatizo ni ushamba wako tu! Taifa liko pazuri na linaenda vizuri!Taifa limekabidhi roho yake kwa mabeberu na wanalichezea wanavyotaka. Leo hii tunapinduliwa na kugeuzwa kadri mabeberu wanavyotaka. Wanatulazimisha kupata mikopo kupitia chanjo za Kovidi 19. Watanzania nao wamezigomea.
Watanzania wanakamuliwa kodi za kila aina ambazo hazijabadilisha uelekeo wa maisha yao hata kiduchu. Ukiongea kodi, ukicheka kodi ukimtumia bibi yako hela ya ugolo anakatwa kodi. Lakini huduma za kijamii kama afya na upatatikanaji wa maji safi hakuna.
Ccm ya mama Samia haijajitanabaisha kuwa inataka nini juu wananchi wa kawaida. Maana matatizo yao ya kila siku yanaongezeka. Hawana uhakika wa kula, huduma za afya ni tabu tubu, ajira ni tabu tupu. Lakini hawajasikia mama Samia akisema ana mpango gani kuwanusuru.
Taifa letu kama watanzania limetwaliwa na wapigaji wachache. Tutumbue macho.
Hakika mkuu wangu π€£Mkuu,usimpigie Gitaa Mbuzi,hawezi kucheza.
ππTatizo ni ushamba wako tu! Taifa liko pazuri na linaenda vizuri!
Hakuna nchi duniani inayoendelea kwa maendeleo ya kweli bila kodi! Kama hutaki kulipa kodi Tanzania nenda Marekani Au Uingereza Au China alafu rudi hapa useme hali ya kikodi huko ikoje!
Chuki zenu dhidi ya Samia mbaki nazo nyie wenyewe huko sio kutuletea maneno hapa nchi imepoteza muelekeo wakati mapato yanakusanywa vizuri, miradi inaendelea vizuri na kikubwa zaidi sasa tumeanza kufanya vizuri zaidi kiuchumi kuliko ilivyokuwa hapo awali!
Nenda kafuatilie ripoti ya Bank kuu za Uganda na Kenya uone kwa jinsi gani Tanzania sasa inauza zaidi mazao kwenye hizo nchi kuliko wao wanavyouza kwetu
Taifa limekabidhi roho yake kwa mabeberu na wanalichezea wanavyotaka. Leo hii tunapinduliwa na kugeuzwa kadri mabeberu wanavyotaka. Wanatulazimisha kupata mikopo kupitia chanjo za Kovidi 19. Watanzania nao wamezigomea.
Watanzania wanakamuliwa kodi za kila aina ambazo hazijabadilisha uelekeo wa maisha yao hata kiduchu. Ukiongea kodi, ukicheka kodi ukimtumia bibi yako hela ya ugolo anakatwa kodi. Lakini huduma za kijamii kama afya na upatatikanaji wa maji safi hakuna.
Ccm ya mama Samia haijajitanabaisha kuwa inataka nini juu wananchi wa kawaida. Maana matatizo yao ya kila siku yanaongezeka. Hawana uhakika wa kula, huduma za afya ni tabu tubu, ajira ni tabu tupu. Lakini hawajasikia mama Samia akisema ana mpango gani kuwanusuru.
Taifa letu kama watanzania limetwaliwa na wapigaji wachache. Tutumbue macho.
Nchi ikipotea kwa staili kama hii hapa chini kuna shida gani? Acha ipotee tuu tukutane 2025 πUkimtazama Magufuli, Mkapa, Nyerere halafu uka-compare na huyu tuliyenaye ndo unajua nchi inapotea na iko mikokoni mwa outlier
π€£Mkuu,tuwekee hapa hayo yanayo fichwa,au na wewe huyajui?
Usitupigie kelele ,wenda tunayoyaona ni kutokana na MAUMIVU ya mwendazake ,yule mzee alikua mwongo Sana akisaidiwa na timu mapambio ,KAZI ikiwa kufilisi WATU pesa zao pitia KESI za kuhujum uchumiTaifa limekabidhi roho yake kwa mabeberu na wanalichezea wanavyotaka. Leo hii tunapinduliwa na kugeuzwa kadri mabeberu wanavyotaka. Wanatulazimisha kupata mikopo kupitia chanjo za Kovidi 19. Watanzania nao wamezigomea.
Watanzania wanakamuliwa kodi za kila aina ambazo hazijabadilisha uelekeo wa maisha yao hata kiduchu. Ukiongea kodi, ukicheka kodi ukimtumia bibi yako hela ya ugolo anakatwa kodi. Lakini huduma za kijamii kama afya na upatatikanaji wa maji safi hakuna.
Ccm ya mama Samia haijajitanabaisha kuwa inataka nini juu wananchi wa kawaida. Maana matatizo yao ya kila siku yanaongezeka. Hawana uhakika wa kula, huduma za afya ni tabu tubu, ajira ni tabu tupu. Lakini hawajasikia mama Samia akisema ana mpango gani kuwanusuru.
Taifa letu kama watanzania limetwaliwa na wapigaji wachache. Tutumbue macho.
Watanzania wazembe na wapumbavu ni wengi sana. Hivi unatumia kipimo gani kusema Rais SSH hamna kitu?Pale tumeingia cha kike.
Wa kulaumiwa ni ccm, kuweka viongozi kwa fadhila ama kufanya masihala na uongozi wa nchi hii.
Chini ya ccm hatutafika mahala popote. Yule mama hakuna kitu, hajielewi, hajitambui na wala hajui anafanya nini.
Tanzania sijui tunakosea wapi.
Walioiletea MAHANGAIKO na SHIDA hizi TANZANIA ni wale wale hivyo Usitarajie MATATIZO ya Watanzania Yatatatuliwa NaoTaifa limekabidhi roho yake kwa mabeberu na wanalichezea wanavyotaka. Leo hii tunapinduliwa na kugeuzwa kadri mabeberu wanavyotaka. Wanatulazimisha kupata mikopo kupitia chanjo za Kovidi 19. Watanzania nao wamezigomea.