Mama ana uwezo wa kubana mianya gani bwana! Just be frank, bora tukutuku liende tu.Ni maoni yake na pengjne nyuma ya pazia kuna mianya kabaniwa.. Hawa wanasiasa hasa wa kiafrika hawaaminiki na ni wa kuogopa kuliko ukoma
Ni sahihi kabisa mwanasiasa akikwambia saivi n usiku toka kabisa nje uhakikishe kama kweli n usiku unaweza kuta n mchana kweupeNi maoni yake na pengjne nyuma ya pazia kuna mianya kabaniwa.. Hawa wanasiasa hasa wa kiafrika hawaaminiki na ni wa kuogopa kuliko ukoma
Tatizo ni kipenzi chake kabisa na usiyemdhania bora hata angekuwa wale Sukuma gang wenzangu nisingeshangaa lkn huyo ni msoga OG!Ni maoni yake na pengjne nyuma ya pazia kuna mianya kabaniwa.. Hawa wanasiasa hasa wa kiafrika hawaaminiki na ni wa kuogopa kuliko ukoma
Kwani sheria/muongozo wa serikali juu ya uagizaji bidhaa mfano sukari unasemaje?. Na kitu kizito kilichompiga kichwani juu ya sukari huyo waziri unadhani kama ni wewe ungesemaje?"Hakuna mtu hapo yaani bora liende tu"
Hivi karibuni nikiwa kwenye msiba wa mzazi wa Waziri jina kapuni kwa masikio yangu nilimsikia mmoja wa mawaziri akimponda waziwazi mama yenu akitoa hiyo kauli ya hapo juu...
Kumbe hata Sukuma gang wanasingiziwa bure tu.Tatizo ni kipenzi chake kabisa na usiyemdhania bora hata angekuwa wale Sukuma gang wenzangu nisingeshangaa lkn huyo ni msoga OG!
Huwezi mdhania aisee!Kumbe hata Sukuma gang wanasingiziwa bure tu.
Shida iko wapi Rais kupondwa na Waziri? Watu wanawaponda hata mitume wa Mungu, Yesu Kristu na Mtume Muhammad na bado dini hizi zina wafuasi wengi tu, sembuse ya Rais Samia?"Hakuna mtu hapo yaani bora liende tu"
Hivi karibuni nikiwa kwenye msiba wa mzazi wa Waziri jina kapuni kwa masikio yangu nilimsikia mmoja wa mawaziri akimponda waziwazi mama yenu akitoa hiyo kauli ya hapo juu...
null set kabisaWaziri jina kapuni