love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,584
- 3,051
Kumbe uzalendo ni zidumu fikra za mwenyekiti?ulipashwa kumchapa kibao...maana huyo waziri anatumia kodi zako za bure....anafanya nini kwenye nyadhifa ya uwaziri kama hakubaliana na mamlaka iliyompa huo uwaziri....ulipaswa umchape kibao na kumwambia ajiuzuru haraka iwezekanavyo na ikiwezekana ungemuanika hadharani...
Huo ndio Uzalendo unapaswa kuanzia kwako...sio kuleta hizi blah blah halafu kila siku tunalalamika nchi haiendelei..
Tutafika tumechoka sana.