Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

ulipashwa kumchapa kibao...maana huyo waziri anatumia kodi zako za bure....anafanya nini kwenye nyadhifa ya uwaziri kama hakubaliana na mamlaka iliyompa huo uwaziri....ulipaswa umchape kibao na kumwambia ajiuzuru haraka iwezekanavyo na ikiwezekana ungemuanika hadharani...

Huo ndio Uzalendo unapaswa kuanzia kwako...sio kuleta hizi blah blah halafu kila siku tunalalamika nchi haiendelei..
Kumbe uzalendo ni zidumu fikra za mwenyekiti?
Tutafika tumechoka sana.
 
"Hakuna mtu hapo yaani bora liende tu"

Hivi karibuni nikiwa kwenye msiba wa mzazi wa Waziri jina kapuni kwa masikio yangu nilimsikia mmoja wa mawaziri akimponda waziwazi mama yenu akitoa hiyo kauli ya hapo juu.

Kumpuuza kwakwe yule mama ilhali ni Waziri ilinistaajabisha mno na sikuitarajia kauli kama ile kutoka kwa mtu wa nafasi kama yake.

Ukweli ni kwamba kumbe hata wasaidizi wake wanamchora na kumpuuza.

Sijasimuliwa bali ni kwa masikio yangu.
Majungu hayo,mtaje huyo waziri
 
Ni maoni yake na pengjne nyuma ya pazia kuna mianya kabaniwa.. Hawa wanasiasa hasa wa kiafrika hawaaminiki na ni wa kuogopa kuliko ukoma
Mama hana jeuri ya kubana mianya,kwake kila kitu ruksa ili tu apate sifa binafsi ndio maana wasaidizi wake wanampinga. Leo hii si ajabu ata ukitaka kiwanja national stadium unaweza kupata😂😂🏃‍♂️
 
Tatizo ni kipenzi chake kabisa na usiyemdhania bora hata angekuwa wale Sukuma gang wenzangu nisingeshangaa lkn huyo ni msoga OG!
Moyo wa mtu ni kiza kinene.. Totoro kabisa.. Na daima kikulacho ki nguoni mwako
 
Wafuasi wa Prof Mkenda acheni kutapatapa. Naona sasa mnataka mchonganisha Bashe na Rais. Yani akili yenu ni kuwa Prof atapigwa chini nafasi aichukue Bashe.

Siasa za Tanzania ngumu sana.

Siku nyingine mwambieni Prof aache jeuri na kejeli.
Mkenda ni mchagga mwenziyo
 
Mama hana jeuri ya kubana mianya,kwake kila kitu ruksa ili tu apate sifa binafsi ndio maana wasaidizi wake wanampinga. Leo hii si ajabu ata ukitaka kiwanja national stadium unaweza kupata[emoji23][emoji23][emoji2089]
Kumbuka kuna watu kawatumbua ama kupelekwa ulaji kwa wengine
 
Kumbuka kuna watu kawatumbua ama kupelekwa ulaji kwa wengine
Amewatumbua for self ambition na sio national interest,sawa na kuhamisha tu position ya mirija lakini hawezi kuziba hiyo mirija..ni syndicated movement towards 2025 election.
 
"Hakuna mtu hapo yaani bora liende tu"

Hivi karibuni nikiwa kwenye msiba wa mzazi wa Waziri jina kapuni kwa masikio yangu nilimsikia mmoja wa mawaziri akimponda waziwazi mama yenu akitoa hiyo kauli ya hapo juu.

Kumpuuza kwakwe yule mama ilhali ni Waziri ilinistaajabisha mno na sikuitarajia kauli kama ile kutoka kwa mtu wa nafasi kama yake.

Ukweli ni kwamba kumbe hata wasaidizi wake wanamchora na kumpuuza.

Sijasimuliwa bali ni kwa masikio yangu.
Usilete majungu! Sema alisema nini. Vidokezo kuweza kumtambua aliyesema hayo.
 
Majungu hayo.....

Majungu tupu.....

UCHONGANISHI UCHONGANISHI UCHONGANISHI

Yaani aongee maneno hayo huku AMEZUNGUKWA NA MTU/ WATU WENGINE?!!!!

Unafiki mtupu.......
 
Amewatumbua for self ambition na sio national interest,sawa na kuhamisha tu position ya mirija lakini hawezi kuziba hiyo mirija..ni syndicated movement towards 2025 election.
But remember the end justifies the means!
 
Aisee Hakuna rais aliyeingia madarakani akaachwa kulaumiwa, jibu ni kwamba huwezi kumridhisha kila mwanadamu
 
Back
Top Bottom