Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

umesoma uchumi wewe kolaz? hio ni jambo zuri kabisa ambalo linafanyika na nchi nyingi sana
Mkuu kwa kuwa sijui KOLAZ ni nini nimepokea
sasa nielezee kwanini hilo ni jambo zuri kabisa???
 
Rejea hotuba ya mama Dakika ya 28 sekunde ya 30,
utajua nini nazumgumzia
Andika nukuu hapa!
Au chukua hicho kipande ukiambatanishe na uzi wako.
Otherwise unaandika umbea kwasababu najua hamna kitu kama hicho
 
Kuwa na viongozi wakopaji nao sio afya kwa taifa.
 
Ndio hatukatai mikopo
lakini ndo tutumie tena nusu ya mkopo kulipa deni la zamani??
tunakopa kulipa mkopo

UCHUMI WA WAPI HUU - "debt distress"
Kwanza the way anavyoongea tu unaona kweli huyu ana diploma tena diploma yenye ya secretarial ,
 
Andika nukuu hapa!
Au chukua hicho kipande ukiambatanishe na uzi wako.
Otherwise unaandika umbea kwasababu najua hamna kitu kama hicho
uvivu wako wa kung'amua mambo usitupe kazi ya ziada ya kukusaidia
fanya kama hakuna hicho kitu then potezea tu mkuu, sababu hata ukielewa ukweli huna uelewa wa kutafsiri ukweli huo katika uchumi wa TZ zaidi ya kushabikia
 
Mvivu ni mimi au wewe?
Wewe ndio umeleta mjadala wa udaku ambao hauna source, kisha unaniambia nikatafute source maana mimi ni mvivu na sina uwezo wa kuchambua mambo...mbona akili zako zinafanana na Ndugai?
 
Serikali iliyokosa wataalamu kwasababu ya insecurities za kijinga tu, unajaza watu wasiokuwa na uwezo kiakili ilimradi mnajuana tu.

Hii ni miezi tu, bado tuna miaka kadhaa huko mbele ni lazima tulime kwa meno.
 
Umeipata wapi hii? Au umetoa kichwani?
Watu wenye taaluma hung'amua hoja kila yanapozingumzwa maneno, wewe kwakuwa unaendeshwa na ushabiki hauwezi kuliona hilo.

Hii hoja imepatikana kwenye hotuba ya jana.
 
Mvivu ni mimi au wewe?
Wewe ndio umeleta mjadala wa udaku ambao hauna source, kisha unaniambia nikatafute source maana mimi ni mvivu na sina uwezo wa kuchambua mambo...mbona akili zako zinafanana na Ndugai?
arguing with you is another loss to my time resources ,
kama unahisi taarifa hii haina source toa taarifa kwa moderators waondoe UZI..........πŸ˜€πŸ˜›πŸ˜€πŸ˜›
 
Ndio hatukatai mikopo
lakini ndo tutumie tena nusu ya mkopo kulipa deni la zamani??
tunakopa kulipa mkopo

UCHUMI WA WAPI HUU - "debt distress"
Yes debt refinancing ipo dunia nzima, hta makampuni makubwa yanakopa ili ku refinance madeni ya zamani na mengine yanaenda mbali zaidi kutaduta Avilizer ambaye atanunua deni lako na ww utamlipa taratibu kwa muda mrefu.

So mambo ya taaluma tuachie wanataaluma
 
arguing with you is another loss to my time resources ,
kama unahisi taarifa hii haina source toa taarifa kwa moderators waondoe UZI..........πŸ˜€πŸ˜›πŸ˜€πŸ˜›
Mnyumbuliko wa deni huo hapo juu!
 
Mvivu ni mimi au wewe?
Wewe ndio umeleta mjadala wa udaku ambao hauna source, kisha unaniambia nikatafute source maana mimi ni mvivu na sina uwezo wa kuchambua mambo...mbona akili zako zinafanana na Ndugai?
Be fair kwa mtoa mada. Mtoa mada anaongea na walioifatilia hotuba Jana, Kama hukuifatilia hotuba Ni tatizo jingine ila usiite alichosema mtoa mada ni udaku. Jana Rais kahutubia Taifa na hotuba yake kurushwa na vyombo vya habari vingi nchini. Na sehemu ya hotuba yake alizungumza jinsi Waziri Mwigulu Nchemba alivyompigia simu usiku kuhusu Deni la Taifa kwamba limeanza kumature linatakiwa lianze kulipwa. Akamuomba asimkate usingizi wataongea kesho yake.

Kesho yake walikutana rais, waziri Mwigulu na katibu Mkuu kiongozi. Ndipo Mwigulu akatoa wazo la kwamba wachukue nusu ya mikopo nafuu na kuitumia kuilipa haya madeni yanayo mature. Wazo Hilo likapita na Rais kusifu kwamba hayo ndio matumizi ya akili, unakopa huku na unalipa Deni kule. Na Rais akasisitiza hata kwenye Maisha ya kawaida ndio tunavyofanya.
 
Hapa nakaribia kukuelewa
 
Mnyumbuliko wa deni huo hapo juu!
Mkuu Paul Alex uwe unafwatilia hotuba za Rais wetu. Inaonyesha wazi hujafuatilia hotuba ya Rais hivo unabishana tu humu ushinde. Ila nimeunga mkono alicho kifanya Rais. Kuna mikopo imeiva inatakiwa ilipwe so they made that apparently wise decision kuchukua sehemu ya mkopo kulipia deni lililo iva.
 
Niliigusagusa kwenye social media ila sio yote..
Mleta mada amekuja na assumption kwamba watu wote kwenye jukwaa hili wanajua anachokiandika.. uzi wenyewe una mistari mitano na hauonyeshi chanzo cha hoja
 
Na sehemu ya hotuba yake alizungumza jinsi Waziri Mwigulu Nchemba alivyompigia simu usiku kuhusu Deni la Taifa kwamba limeanza kumature linatakiwa lianze kulipwa. Akamuomba asimkate usingizi wataongea kesho yake.
Mwigulu alikuwa analeta habari ya "usalama wa nchi". Ni kweli usingizi ni muhimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…